The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Nchi ina wajinga hii sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaongoza kwa kukimbia Hoja,Unategemea mbumbumbu watajibu vipi hoja nzito
Mkuu Ngara unaona kwenye andiko lako watu wanakuita.
Mjinga.
Utopolo Pro Max.
Utopwinyo nk
Jitafakari Mkuu
yule manara mshenzi sana maneno yake ni kama yalitulaaniTukumbuke tarehe March 10, 2025.
Yanga waliandika barua Kwa bodi ya ligi kudai haki Yao ya magoli 3 pamoja na points 3 na fidia ya Tshs million 56,435,000 baada ya uvunjifu wa mchezo ambao ulikuwa ufanyike tarehe 8 March
Simba waliwashinikiza bodi ya ligi katika hali isiyo ya kawaida bodi ya ligi Kwa kuongozwa na hisia na bila ya kufuata kanuni wanavunja mchezo
Bodi ya ligi walijulishwa wao wakachagua kukaa kimya bila kujibu madai ya young Africans
Sasa baada ya saa 72 kutamatika shauri linaenda kwenye mahakama ya usulihisi wa michezo kimataifa CAS
Hapa hata bodi ya ligi walipanga tarehe mpya ya mchezo hakuna kitakachoendelea Kwa kuwa shauri litakuwa CAS
Kila la heri Young Africans
Yanga bingwa
Maneno gan Mkuuyule manara mshenzi sana maneno yake ni kama yalitulaani
kusema wenye akili ni wawili tuManeno gan Mkuu
Maneno gan Mkuu
Kweli aisee,ina maana hata alieandika uzi nae hazipoAlisema Yanga Wote Mazuzu, Wenye akili Wawili tu...! Unawakumbuka aliowataja Wana akili?
Mbumbumbu katika ubora wakoTunaenda kuchukua video ya sindano tafadhali sana Azam tunzen Siri
Hivi siku hizi kiswahili kimebadilika FUTARI kuitwa IFTAR?!Yale yalikua ni masaa 72 kwa ajili ya maandalizi ya IFTARI.
Mtakutana mnywe uji wa mapande.Tukumbuke tarehe March 10, 2025.