Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Maybe itakuwa ni arabic slangHivi siku hizi kiswahili kimebadilika FUTARI kuitwa IFTAR?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maybe itakuwa ni arabic slangHivi siku hizi kiswahili kimebadilika FUTARI kuitwa IFTAR?!
Wewe na yanga ninyi nyote ni wajinga wa kanuni. Kwanza yanga haijawahi kushinda kesi yoyote ya caf.Unategemea mbumbumbu watajibu vipi hoja nzito
Patrick simon mwenyewe alishaongea ktk crip yake kuwa simba wana haki ila alisema kwake haikuwa busara kususia. Patrick hawezi kukubali kwenda cas labda awepo mwanasheria mwingine.Patrick apigwe marufuku kuandika barua kwenda CAS, atawaangusha utopolo kama alivyowaangusha Kesi za kina Morison na hivi Karibuni Kagoma!
Suluhisho ni kumuomba ama JK au Sande Manara ndo Waandike barua CAS, maana peke yao ndo Wamebakiwa na AKILI
Mh! Ndiyo hivyo mkuu. Sasa azitowe wapi wakati wenye akili ni wawili tu (sande Manara na kikwete)?Kweli aisee,ina maana hata alieandika uzi nae hazipo
Leo ndipo nimeamini kauli ya Manara kwamba utopoloni wenye akili ni wawili tu.Tukumbuke tarehe March 10, 2025.
Yanga waliandika barua Kwa bodi ya ligi kudai haki Yao ya magoli 3 pamoja na points 3 na fidia ya Tshs million 56,435,000 baada ya uvunjifu wa mchezo ambao ulikuwa ufanyike tarehe 8 March
Simba waliwashinikiza bodi ya ligi katika hali isiyo ya kawaida bodi ya ligi Kwa kuongozwa na hisia na bila ya kufuata kanuni wanavunja mchezo
Bodi ya ligi walijulishwa wao wakachagua kukaa kimya bila kujibu madai ya young Africans
Sasa baada ya saa 72 kutamatika shauri linaenda kwenye mahakama ya usulihisi wa michezo kimataifa CAS
Hapa hata bodi ya ligi walipanga tarehe mpya ya mchezo hakuna kitakachoendelea Kwa kuwa shauri litakuwa CAS
Kila la heri Young Africans
Yanga bingwa
Ni utamaduni wetu kukataa ukweli , huko CAS ndiko iliko haki yetu , kitaeleweka tu. Derby yetu imeishaMkuu Ngara unaona kwenye andiko lako watu wanakuita.
Mjinga.
Utopolo Pro Max.
Utopwinyo nk
Jitafakari Mkuu
Hakuna mwanasheria wa yanga aliyeshindwa shauri CAS.Usipoteze mudaTukumbuke tarehe March 10, 2025.