Masaa 72 Yanga waliowapa TPLB yamekwisha, Sasa tukutane CAS

Unategemea mbumbumbu watajibu vipi hoja nzito
Wewe na yanga ninyi nyote ni wajinga wa kanuni. Kwanza yanga haijawahi kushinda kesi yoyote ya caf.

Kasome kanuni ya 34(1.3) inahusu kuahirisha mechi na sababu zinazoweza kufanya kuwe kikao cha dharula na / au kuahirisha mchezo. Simba wanayo sababu ya uvunjifu wa kanuni ya 17(45) na inakubalika kwamba kweli imekiukwa na kuifanya kanuni ya 31 kupata nguvu. Na hapo ndipo kanuni ya 34 inapotumiwa vizuri na bodi ya ligi kukaa kwa dharula. We kuilaza soma uelewe.
 
Patrick apigwe marufuku kuandika barua kwenda CAS, atawaangusha utopolo kama alivyowaangusha Kesi za kina Morison na hivi Karibuni Kagoma!

Suluhisho ni kumuomba ama JK au Sande Manara ndo Waandike barua CAS, maana peke yao ndo Wamebakiwa na AKILI
Patrick simon mwenyewe alishaongea ktk crip yake kuwa simba wana haki ila alisema kwake haikuwa busara kususia. Patrick hawezi kukubali kwenda cas labda awepo mwanasheria mwingine.
 
Uto mnadhani kwenda CAS ni kama kwenda msalani
 
Leo ndipo nimeamini kauli ya Manara kwamba utopoloni wenye akili ni wawili tu.

Yaani kabisa na wewe umekaa na halmashauri ya kichwa Chako ukaja na hili andiko? Yanga aende CAS kufanya nini? Yanga hii yenye wanasheria mazuzu ishinde kesi huko CAS? Labda !
 
Mkuu Ngara unaona kwenye andiko lako watu wanakuita.
Mjinga.
Utopolo Pro Max.
Utopwinyo nk

Jitafakari Mkuu
Ni utamaduni wetu kukataa ukweli , huko CAS ndiko iliko haki yetu , kitaeleweka tu. Derby yetu imeisha
 
Hakuna mwanasheria wa yanga aliyeshindwa shauri CAS.Usipoteze muda
 
Maamuzi ya Cas yakiwa upande wa Yanga Mjue Yanga Mmekwisha.

Bodi ya Ligi itatungA kanuni ngumu hasa kwa wale wapenda kuruka ukuta na kuvunja mageti.
Na Mtasahau kuifunga Simba kila derby refa atakuwa yule wa Namungo v Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…