GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Tanzania ilicheza na Zanzibar? Yaliyojificha yamekaribia kuwa wazi.Mkuu Paskali angalia kwenye mashindano ya CECAFA under 18 Tanzania imecheza na Zanzibari. Sasa huku tunakoelekea sio kuzuri sababu upande mmoja haukaripiwi umeachwa ufanye mambo yake wakati upande mwingine huu wa bara umejaa wanafiki na wachumia tumbo
Tena HAPANA ya herufi kubwaTanzania bara hii kwakweli hapana
AminaOna hata bendera yake ilivyo nzuri kuonesha kuwa Tanganyika ni nchi nzuri.
Kubadilisha jina ni suala la Kisheria. Ni lazima ulikane la zamani kabla ya kuanza kukutumia jipya.
Ni lini Tanganyika iliutangazia uma kuwa isitambulike tena kwa jina lake zuri la Tanganyika?
Ni wanasiasa wabinafsi ndiyo walioamuabkulitumia hilo jina kwa manufaa yao, lakini Tanganyika haikuwahi kulikana jina lake.
Nachowapendea Wazanzibar hawana unafiki ingawa ni wabaguzi.
Ila ukweli ni kwamba Tanzania haikuwahi kupata Uhuru hata siku moja. Uhuru uliopatikana ni wa nchi iliyokuwa ikiitwa Tanganyika. Haiwezekani ukasherehekea, ambayo ndio kufanya kumbukumbu, ya Uhuru wa nchi ambayo wakati husika haikuwepo.Haja hii nimeiendeshea darasa humu, Darsa: Maadhimisho ya Leo, ni ya Uhuru wa Tanzania, yaani, Tanzania National Day, ila Kumbukumbu Ndio ya Uhuru wa Tanganyika!
Kwa vile hakuna tena Tanganyika, is dead and buried long ago, kilichopo sasa ni Tanzania, then maadhimisho ni uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya uhuru wa Tanganyika.
Kuna vitu viwili, maadhimisho na kumbukumbu!.
P
Wakati mwingine napata mashaka juu ya uwezo wa wafanya maamuzi wa nchi hii na washauri wao.Ila ukweli ni kwamba Tanzania haikuwahi kupata Uhuru hata siku moja. Uhuru uliopatikana ni wa nchi iliyokuwa ikiitwa Tanganyika. Haiwezekani ukasherehekea ambayo ndio kufanya kumbukumbu ya Uhuru wa nchi ambayo wakati husika haikuwepo.
Mkuu GoldDhahabu , sio kila jina linabadilishwa kisheria, nchi baada ya kuungana inabadili jina, baada ya muungano jina la nchi yetu lilikuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Jina lilipobadilishwa kuitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nchi ya Jamhuri ya Tanganyika ikafa na ikabadilika na kuwa Tanzania Bara na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar pia ikafa, nchi ya Zanzibar ikawa Tanzania Visiwani, au Tanzania Zanzibar.Ona hata bendera yake ilivyo nzuri kuonesha kuwa Tanganyika ni nchi nzuri.
Kubadilisha jina ni suala la Kisheria. Ni lazima ulikane la zamani kabla ya kuanza kukutumia jipya.
Ni lini Tanganyika iliutangazia uma kuwa isitambulike tena kwa jina lake zuri la Tanganyika?
Ni wanasiasa wabinafsi ndiyo walioamuabkulitumia hilo jina kwa manufaa yao, lakini Tanganyika haikuwahi kulikana jina lake.
Kwanza acha nikusahihishe kidogo mkuu.Mkuu GoldDhahabu , sio kila jina linabadilishwa kisheria, nchi baada ya kuungana inabadili jina, baada ya muungano jina la nchi yetu lilikuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Jina lilipobadilishwa kuitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nchi ya Jamhuri ya Tanganyika ikafa na ikabadilika na kuwa Tanzania Bara na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar pia ikafa, nchi ya Zanzibar ikawa Tanzania Visiwani, au Tanzania Zanzibar.
Tanganyika haikulikana jina lake ila Tanganyika ilikufa, kwa vile siijui jinsia yako, suppose wewe ni she, jina lako ni Gold Gold binti Dhahabu, ukaolewa na Pasco, jina lako litabadilika na kuwa Mrs Gold Pasco, haulikani jina la dhahabu, bali jina la dhahabu linakufa naturally.
P
🤔🤔🤔🤔Jiwe la moto Tanganyika nchi yangu huru sihamiView attachment 2837716
Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.
Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
View attachment 2837078
Muungano wetu ni muungano wa union, nchi mbili zimeungana kuunda nchi moja ya JMT. Hakuna tena nchi inayoitwa Tanganyika wala Zanzibar, nchi ni moja tuu, Tanzania yenye sehemu mbili, Tanzania Bara iliyokuwa Tanganyika na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar, iliyokuwa ZanzibarTurudi kwenye mada yetu. Inavyofahamika, hakuna nchi iitwayo Tanzania Visiwani, bali kuna Tanzania na Zanzibar
Muungano ni ndoa ya gender less, hakuna mume wala mke, ni wote wameoana, ila kwa vile Tanganyika ndio kubwa, Tanzania Bara inaonekana kama ndio muoaji, anagharimia muungano, hivyo Zanzibar ni kama imeolewa, inatunzwa na kugharimiwa kila kitu na Bara. Na kutokana na Bara kupenda kufa, ikaubali kuliua jina lake la Tanganyika na kulizika, sasa jina la Tanganyika doesn't exist anymore kilichopo ni Tanzania tuu.Unamaanisha Tanganyika iliolewa na Zanzibar? Ndicho unachomaanisha?
Hakuna uovu wowote unaotendewa kwa Tanzania kwasababu mtendaji wa yote ni TanzaniaAcha hayo mkuu! Wewe kama mwanahabari msomi wa Sheria, tulikutatajia uungane na Wazalendo wa Tanganyika kuukemea uovu unaotendewa nchi yetu nzuri ya Tanganyika.
It's very unfortunately Tanganyika has already been dead long ago, na kamwe haiwezi kufufuka kwasababu Muungano wetu adhimu tutaulinda kwa gharama yoyote!.Anayetumaini kuwa Tanganyika itakufa, ajue it's too late hilo kutokea.
Tanganyika will never die!
Nawatakia mapumziko mema ya kumbukumbu ya siku uhuru na jamhuri ya nchi iliyokuwa Tanganyika sasa Tanzania。Tarehe 9 Desemba 1961 Tanganyika ilipata uhuru toka kwa mkoloni Mwingereza,9 Desemba 1962 ikawa jamhuri。 Tarehe 26 April 1964 ikaungana na Zanzibar na kubadili jina na kuwa Tanzania,hivyo leo tunapoadhimisha siku hii,ile Tanganyika iliyopata uhuru wake siku hii sasa haipo tena,iliyopo ni Tanzania hivyo kumbukumbu ndio ya Tanganyika lakini maadhimisho ni ya Tanzania。Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika
Hii bendera ya Tanganyika naweza kuipata wapi?View attachment 2837716
Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.
Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
View attachment 2837078
Acha kupotosha umma! Maadam Zanzibar ipo lazima Tanganyika uwepo!Nawatakia mapumziko mema ya kumbukumbu ya siku uhuru na jamhuri ya nchi iliyokuwa Tanganyika sasa Tanzania。Tarehe 9 Desemba 1961 Tanganyika ilipata uhuru toka kwa mkoloni Mwingereza,9 Desemba 1962 ikawa jamhuri。 Tarehe 26 April 1964 ikaungana na Zanzibar na kubadili jina na kuwa Tanzania,hivyo leo tunapoadhimisha siku hii,ile Tanganyika iliyopata uhuru wake siku hii sasa haipo tena,iliyopo ni Tanzania hivyo kumbukumbu ndio ya Tanganyika lakini maadhimisho ni ya Tanzania。
Heri ya Uhuru na Jamhuri。
P。
Huyo p mayala ni moja ya highly controversial people hapa jukwaani ila asiye na BahatiNyie ndo mnafanya watu wajinga wanazidi kuwa wajinga zaidi. Hivi ulichoandika ukikisoma unakielewa.
Mbona siku ya Uhuru wa Zanzibar wanaita "Mapinduzi ya Zanzibar" kwa nini hawasemi "Mapinduzi ya Tanzania Visiwani". Kuna Watanganyika wa ajabu sana, wengi wao wanaishi kwa kujipendekeza ili kupata fursa. Hivi hata watoto wenu wanapowauliza juu ya Uhuru wa Tanganyika pia huwajibu km mnavyoandika hapa?
Tuweke hapa mabandiko yenye kuelimisha ili wasiojua wajue, siyo kuandika kwa lengo la kupotosha ili kutumiza matakwa binafsi. Mbona wengine huteuliwa na Rais bila hata kufahamika. Ukitafuta connection au publicity kwa upotoshaji kamwe hutafanikiwa. Msomi anataka awe tofauti na ambae hajasoma. Hivi hizo degree zenu vyuoni huwa mnazisomea kweli au ni za mchongo.
Tanganyika siyo Tanzania, Acha UongoNawatakia mapumziko mema ya kumbukumbu ya siku uhuru na jamhuri ya nchi iliyokuwa Tanganyika sasa Tanzania。Tarehe 9 Desemba 1961 Tanganyika ilipata uhuru toka kwa mkoloni Mwingereza,9 Desemba 1962 ikawa jamhuri。 Tarehe 26 April 1964 ikaungana na Zanzibar na kubadili jina na kuwa Tanzania,hivyo leo tunapoadhimisha siku hii,ile Tanganyika iliyopata uhuru wake siku hii sasa haipo tena,iliyopo ni Tanzania hivyo kumbukumbu ndio ya Tanganyika lakini maadhimisho ni ya Tanzania。
Heri ya Uhuru na Jamhuri。
P。
Tutatoa Tangazo hapa hapa Jf, kuna Mchina kishapewa Tenda ya kuzichapishaHii bendera ya Tanganyika naweza kuipata wapi?
Alipata kura Moja tu .Huyo p mayala ni moja ya highly controversial people hapa jukwaani ila asiye na Bahati