Mkuu
GoldDhahabu , sio kila jina linabadilishwa kisheria, nchi baada ya kuungana inabadili jina, baada ya muungano jina la nchi yetu lilikuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Jina lilipobadilishwa kuitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nchi ya Jamhuri ya Tanganyika ikafa na ikabadilika na kuwa Tanzania Bara na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar pia ikafa, nchi ya Zanzibar ikawa Tanzania Visiwani, au Tanzania Zanzibar.
Tanganyika haikulikana jina lake ila Tanganyika ilikufa, kwa vile siijui jinsia yako, suppose wewe ni she, jina lako ni Gold Gold binti Dhahabu, ukaolewa na Pasco, jina lako litabadilika na kuwa Mrs Gold Pasco, haulikani jina la dhahabu, bali jina la dhahabu linakufa naturally.
P