DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huyu dogo kadhalilisha utumishi wake, kadhalilisha utumishi wa umma, idara ya Usalama kama kweli ni TISS, yapaswa achukuliwe achukuliwe hatua Kwa KUKIUKA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA, KULEWA, UHUNI NA KUPIGANA HADHARANI,KUFANYA JARIBIO LA KUUA
 
Trh 25 tuliambiwa kesi itaendelea japi sioni ikiendelea yetu macho..

JurisPesa ndani ya Tanganyika.
 
Back
Top Bottom