Ilipovujishwa hii video ya tukio na hiyo club, ikavujishwa pia video ya boss akiwa na manzi wake. Sijui ilikuwa ni bahati mbaya au walipanga baada ya kuona wamerelease video kwa raia. Kwenye video inaonesha wapelelezi wakizipitia video zinazochukuliwa na CCTV za pale na hiyo moja ndiyo imemrecord boss wa pale.