Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Angelia video vizur
 
Reactions: SDG
Wanabodi.
Askari yule katika tukio la Adam Malima afutwe kazi kwa utovu wa nidham alioufanya, ametia dosari jeshi letu pendwa hivyo aubebe mzigo wake.[/QUOTE

Adam ndionan na amefanya nn.Weka story sawa tukuelewe
 
Mkuu na wewe una mkanda na bendera???
 
Watanzania wametufanya wajinga kwa kivuli cha Amani haiwezekani Mkuu wa mkoa na wilaya na wabunge na mawaziri sifa iwe kusoma na kuandika alafu heti kuna uhakiki wa vyeti upumbavu amabao hauwezi kutokea Nchi ambazo watu wanajitambua DC na RC sifa iwe kujua kusoma na kuandika
 
Huyu afande hayupo sawa na hawa ndo vijana wa Mwigulu Nchemba kama yeye ana uwezo wa kutumia silaha aende Ikwiriri akapambane na MAJAMBAZI Zama hizi za IT huwez fanya ujinga kiasi hiki,Polisi huyo anapoteza KAZI,just wait.
Kumbe vijana wa Sirro ndo washamba wa SILAHA
 
Mimi sio mwalimu wa kiswahili najua umeelewa nilichokusudia kusema.

Hayo ya l na r achia walioko shule
Inawezekana hujui kama tunaandaa model ya kukagua matumizi sahihi sahihi ya lugha yetu adhimu, nyie msiojua lugha hii itabidi mtuonyeshe makaburi ya babu wa babu wa babu zenu. Huenda mkawa na lugha nyingine ya asili.
 
Duuu...kuna siku watakuja kum Nape mtu kima sihara sihara tu
afu kwanini wawe wakali wanapodaiwa kitambulisho..??
mtu anasale za jeshi la polisi na bunduki tena mchana bado unatafuta kitambulisho.
 


Polisi anasema "kaapa" akitaka serikali iheshimiwe. Kikubwa cha kushangaza sana hiyo ndio manner serikali imewafundisha wafanye kazi?

Very unprofessional! Hii ni sehemu tu ya umbumbumbu na ukilaza wetu. Kuwa polisi na crown ya Jamhuri haina maana ufanye kazi ya polisi unprofessional na kubwata hovyo utadhanu mbwa anabweka.

We need to go back on the drawing board.
 
Hamna Aliye juu ya sheria. Period. Awe mtoto wa kigogo au wa Mlala Hoi!
 
Mmmmmh lakini mbona kama sijamuona aliyekuwa akituhumiwa mwizi, au ni Malima? Halafu huyo dogo polisi naona kama dhamira yake ilikuwa ni kumtishia Malima na wala hata siyo umati wa watu.
 
Kwa kweli sijaona ulazima wa huyo askari kutumia bunduki katika hilo tukio, ni ushamba na ubabe ulipitiliza, IGP amuwajibishe mara moja, kama wanaweza kudhalilisha watu waliowahi kuwa viongozi katika hii nchi itakuaje kwa sisi raia wa kawaida!
Kua kiongozi sio tija ni vizuri wakati sheria zilizo wekwa ukikosea kua na lugha nzuri.. Sio unaaanza unajua mi nani??? Wadhifa wako ni ofisini kwako watu wanachoaangalia umefanya kosa wakuadhibu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…