Entrepreneurial
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 201
- 134
Askari yupo sahihi kufyatua risasi hewani ila hayo maneno yaliyokuwa yanamtoka mdomoni ndo yameondoa dhana yote ya kufyatua hewani....
Alafu kuwa na sale sio sababu then aliye ulizwa kitambulisho sio askari na majembe agent Baba VIP..!mtu anasale za jeshi la polisi na bunduki tena mchana bado unatafuta kitambulisho.
Hakuna mtu anayejua kiswahili 100% kwa sababu hata kiswahili siyo lugha yetu kwa 100% maneno mengine tumetoa lugha za wenzetu (tumetohoa, tumerudufisha n.k)Inawezekana hujui kama tunaandaa model ya kukagua matumizi sahihi sahihi ya lugha yetu adhimu, nyie msiojua lugha hii itabidi mtuonyeshe makaburi ya babu wa babu wa babu zenu. Huenda mkawa na lugha nyingine ya asili.
Ni kweli pamoja na kuchimba mkwara lakini. Huyu Askari alikuwa na tahadhali mno. Mara apande gari mara ashukeHuyo askari (ukiacha aliyefyatua risasi) ana wasiwasi kweli. Anahofia mwenzake ataharibu. Amewahi kuondoa ushahidi (amechukua ganda la risasi iliyofyatuliwa). Duh...yaani huyo askari bangi angeweza kuleta madhara makubwa sana hapo.
Umeandika kama vile kila mtu ameshuhudia hilo tukio mubashara!!Wanabodi.
Askari yule katika tukio la Adam Malima afutwe kazi kwa utovu wa nidham alioufanya, ametia dosari jeshi letu pendwa hivyo aubebe mzigo wake.
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.
Hujui lolote katika ulinzi, ganda la risasi ni muhimu kuokotwa likitumika vibaya litaleta madhara pengine mtu kupoteza kazi.Huyo askari (ukiacha aliyefyatua risasi) ana wasiwasi kweli. Anahofia mwenzake ataharibu. Amewahi kuondoa ushahidi (amechukua ganda la risasi iliyofyatuliwa). Duh...yaani huyo askari bangi angeweza kuleta madhara makubwa sana hapo.
Mbona povu linakutoka kwani ulilazimishwa kuwa polisiMdomo wako sio utendaji, mimi ni mwanaume najua sina ushabiki na mambo ya kijinga.
Watanzania mnjifanya kujua kila kitu, kutukana askari wakati mnalindwa na hao askari nyie ni pimbi sana.
Unajiita mwelevu ilihali ukiona mjusi unaogopa.