Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Askari nao wana yao kama ilivyo kwetu sisi, then I would think kila party ishughulikie hizi tabia mbaya tulizojizoeza ili wote tuongozwe na sheria...Vinginevyo tutashindwa kuitunza amani ya nchi yetu
 
Askari nao wana yao kama ilivyo kwetu sisi, then I would think kila party ishughulikie hizi tabia mbaya tulizojizoeza ili wote tuongozwe na sheria...Vinginevyo tutashindwa kuitunza amani ya nchi yetu
point.. kila mtu ajielewe.. wakubwa wajue kuwa muda wa kuwa above the law umekwisha... na polisi nao watumie busara na heskima na utawala wa haki
 
Kwahiyo mtu akikuuliza mkuu wa masafara yuko wapi ni dharau? Hivi nyie ni nani aliewashikia akili zenu? Au ndio jinsi mlivyozaliwa?
Polisi anapiga risasi hewani halafu unasema eti alidharauliwa.
 
Halafu binafsi nachukia sana Askari Polisi kunyoa viduku kama rais kichaa wa North Korea!!! Ndevu hawafugi ila viduku shida sana (wanaonekana bangi bangi tu)
 
Duh! Ina maana ungelitofoa lile tumbo!
 
Kama kulikuwa na makosa yamefanywa,taratibu zipo za kumtia nguvuni.
Kitendo cha askari kupandisha jazba kama ni ishu binafsi vile yani kama vile amechukuliwa mkewe ni cha kipuuzi kwa kiwango cha juu mno.
Jeshi la polisi lina watu wengi sana wa namna hii,hawa wanaitia aibu nchi yetu maana video hizi zinasambaa sehemu nyingi sana.
Ifike hatua sasa wahuni hawa waondolewe ili kuweka ubora na kuongeza ufanisi wa jeshi.

Matendo mengi ya kijinga kama haya ndiyo yanayopelekea raia kuzidi kulidharau jeshi na kuzidisha chuki kati yetu.
 
Ulitaka Polisi apigwe makofi ushangilie kwan kupiga risasi juu kumeleta madhara gani mpaka useme hana cheti!!!? SHUBAAAAMIT
Huyo polisi hakutishiwa na silaha yeyote iliyopelekea had yy kutumia nguvu kubwa kiasi hicho kwa maana alikua ameshapanda gari anaondoka then alivyosikia kelele za kuzomea akapanik kitu ambacho ukiwa na silaha hata kisu, kupanic ni mwiko unaweza sababisha madhara makubwa. Kwa sisi tuliopitia jkt tunajua mshindo wa bunduki hasa inaposhikiliwa na mkono mmoja tena risasi mfululizo katka mazingira kama yale kuna ghorofa na watu wengi, inaweza bunduki kupoteza uelekeo na kuleta maafa.
 
Ha ha ha Malima teyari ananyea debe...... Kesho mahakamani .....
 
Kwahiyo mtu akikuuliza mkuu wa masafara yuko wapi ni dharau? Hivi nyie ni nani aliewashikia akili zenu? Au ndio jinsi mlivyozaliwa?
Polisi anapiga risasi hewani halafu unasema eti alidharauliwa.
hakukuwa na msafara kaka.. polisi wameitwa na Majembe ili gari litolewe... wamekuja polisi wa2...anaulizia mkuu wa msafara kuonesha kuwa hawezi kuwasilikiliza hao madogo ila boss wao..... nisingepiga juu.. u know wat I mean
 
Tatizo polisi wetu wanapenda kuabudiwa sana....

Yaani polisi anapenda ukimuona ujione kama Mbwa mbele ya Chatu....

Polisi wetu nilishaacha kuwaamini, kama ninatatizo nitaripoti kwa mjibu wa sheria kwa kumbukumbu za baadae mahamani..!
 
Busara na ukomavu wa akili wa Adam Malima katika hiyo video unaonyesha jinsi baadhi ya watanzania ambao wanaifahamu sheria na haki zao za msingi.

Ni jambo la msingi sana mtu kufahamu sheria na haki yako maana hizo ndizo huwapandisha mizuka askari wajinga kama huyo askari kijana.

Ndiyo maana askari mwenzie ambae amekwishatambua kuwa mwenzake amevunja sheria anaonekana anajaribu kumtuliza mwenzie baada ya kuharibu.

Huyu askari ni lazima awajibishwe na jeshi la polisi litoe tamko la kuomba radhi kwa kitendo cha askari wake kukiuka misingi na moka aya kazi yake na pia kwa matumizi mabaya ya silaha.
 
sawa ila usihukumu upande mmoja... hakuna calculations za hasira/jazba iwe kazini ama kwa mkeo. Besides risk za ujinga kama wa unayemtetea ni kwamba polisi angeweza kuwa mjinga zaidi akampa za bandama akaenda jela tungepoteza nguvu kazi.... Pande zote 2 zimekosea...to my little understanding
 
hakukuwa na msafara kaka.. polisi wameitwa na Majembe ili gari litolewe... wamekuja polisi wa2...anaulizia mkuu wa msafara kuonesha kuwa hawezi kuwasilikiliza hao madogo ila boss wao..... nisingepiga juu.. u know wat I mean

Lazima kuwe na mkuu wa msafara,unadhani hao polisi wanatembea kama kuku? Kwanza uyo Malima kamheshimu sana. Mimi ningemnasa makofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…