Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
lol .... punguza jazba mkuu... but very trueMimi ningempa ya utosi kabisa atangulie mbele za haki, sipendi dharau Mimi. Ana bahati huyo sana huyo mtu kakutana na mapolisi yenye akili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lol .... punguza jazba mkuu... but very trueMimi ningempa ya utosi kabisa atangulie mbele za haki, sipendi dharau Mimi. Ana bahati huyo sana huyo mtu kakutana na mapolisi yenye akili
point.. kila mtu ajielewe.. wakubwa wajue kuwa muda wa kuwa above the law umekwisha... na polisi nao watumie busara na heskima na utawala wa hakiAskari nao wana yao kama ilivyo kwetu sisi, then I would think kila party ishughulikie hizi tabia mbaya tulizojizoeza ili wote tuongozwe na sheria...Vinginevyo tutashindwa kuitunza amani ya nchi yetu
Mimi mtu akinidharau ndio maana huwa natembelea bakora, nakupa ya kichwa aseelol .... punguza jazba mkuu... but very true
Duh! Ina maana ungelitofoa lile tumbo!Kama kuna jambo baya duniani kwa kiumbe chochote kile chenye uhai, basi ni dharau.
Nimejaribu kufuatilia issue ya Malima kwa ukaribu...
Ukweli ni kwamba, kuna chembe chembe za kupimana ribs na kuoneshana dharau kati ya raia, waziri, mwanae na waziri dhidi ya Polisi...
Hata kama wewe una haki, kuna namna ya kuzungumza, the issue was already viral.... kumbuka issue ya kumuita "Mwizi alie kwenye gari"
Then Malima anaingilia katikati ya maongezi kati ya polisi na mtuhumiwa (Mwanae)
Mwananchi anadakia polisi akijibizana na Malima "Huna mamlaka wewe, huna mamlaka huyu waziri huyu, ana ulinzi"
Then Polisi anafyatua risasi hewani, Malima anasema " Kiongozi wa msafara wenu yuko wapi " aje hapa....
Hivi wananchi wanadhani hilo walilobeba polisi ni toy au?
Perception ya Dharau inaaniza kwa kijana, kisha baba anaingilia' yet, polisi anaonekana kama third class tu wakati wa mazungumzo, na wananchi wanashadadia....
Nakumbuka kimbembe cha waziri aliewahi ingia kwenye ATM posta bila kupita kwenye foleni....
Viongozi wetu tunawapenda, sheria mmetunga wenyewe, zikiwarudia mnaona mnaonewa... this is hugely unacceptable.....
Yani kwa dharau za kijinga namna ile ningekuwa mimi nisingevumilia hata kidogo.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.... The policeman was provoked to the first degree....
Huyo polisi hakutishiwa na silaha yeyote iliyopelekea had yy kutumia nguvu kubwa kiasi hicho kwa maana alikua ameshapanda gari anaondoka then alivyosikia kelele za kuzomea akapanik kitu ambacho ukiwa na silaha hata kisu, kupanic ni mwiko unaweza sababisha madhara makubwa. Kwa sisi tuliopitia jkt tunajua mshindo wa bunduki hasa inaposhikiliwa na mkono mmoja tena risasi mfululizo katka mazingira kama yale kuna ghorofa na watu wengi, inaweza bunduki kupoteza uelekeo na kuleta maafa.Ulitaka Polisi apigwe makofi ushangilie kwan kupiga risasi juu kumeleta madhara gani mpaka useme hana cheti!!!? SHUBAAAAMIT
hakukuwa na msafara kaka.. polisi wameitwa na Majembe ili gari litolewe... wamekuja polisi wa2...anaulizia mkuu wa msafara kuonesha kuwa hawezi kuwasilikiliza hao madogo ila boss wao..... nisingepiga juu.. u know wat I meanKwahiyo mtu akikuuliza mkuu wa masafara yuko wapi ni dharau? Hivi nyie ni nani aliewashikia akili zenu? Au ndio jinsi mlivyozaliwa?
Polisi anapiga risasi hewani halafu unasema eti alidharauliwa.
Yupo sahihi kutumia silaha kizembe! Kwa nini asitumie mamlaka kumweka chini ya ulinzi huyo 'mtuhumiwa'?Mkuu ni kweli kopites unachosema,ila la leo askari yupo sahihi
sawa ila usihukumu upande mmoja... hakuna calculations za hasira/jazba iwe kazini ama kwa mkeo. Besides risk za ujinga kama wa unayemtetea ni kwamba polisi angeweza kuwa mjinga zaidi akampa za bandama akaenda jela tungepoteza nguvu kazi.... Pande zote 2 zimekosea...to my little understandingKama kulikuwa na makosa yamefanywa,taratibu zipo za kumtia nguvuni.
Kitendo cha askari kupandisha jazba kama ni ishu binafsi vile yani kama vile amechukuliwa mkewe ni cha kipuuzi kwa kiwango cha juu mno.
Jeshi la polisi lina watu wengi sana wa namna hii,hawa wanaitia aibu nchi yetu maana video hizi zinasambaa sehemu nyingi sana.
Ifike hatua sasa wahuni hawa waondolewe ili kuweka ubora na kuongeza ufanisi wa jeshi.
Matendo mengi ya kijinga kama haya ndiyo yanayopelekea raia kuzidi kulidharau jeshi na kuzidisha chuki kati yetu.
hakukuwa na msafara kaka.. polisi wameitwa na Majembe ili gari litolewe... wamekuja polisi wa2...anaulizia mkuu wa msafara kuonesha kuwa hawezi kuwasilikiliza hao madogo ila boss wao..... nisingepiga juu.. u know wat I mean