Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Polisi ali over react yes
Mwenzake alimtuliza kwakuwa machine yake ya hasira ilikuwa down at that time.. kawa na busara kuliko mwingine
Aliyepiga risasi alipanda hasira za kimorani ahahahahahah ready to kill simba....lol
 
Reactions: y-n
Viongozi wetu wapate busara waone lipo jambo lakufanyia kazi kuhusu polisi na wananchi.

Utengano unaoendelea si dalili nzuri.

Sisi watanzania tumezoea kujadiliana. Tunaulizana, tunaeleweshana, mambo yanakuwa sawa.

Polisi waongee kwa werevu na raia. Na raia waelewe na kutii.....si ndiyo askari wetu tunaotaka watulinde?

Ipo fahari gani wewe askari usijinyeyekeze kwa jamii yako....watu wako? Nini sasa maana ya kuwa shujaa kwa jamii yako?

Viongozi waone haya mapema. Wote tunashuhudia utengano unaoendelea kati ya polisi na jamii.

Mzaha mzaha........
 
Polisi ali over react yes
Mwenzake alimtuliza kwakuwa machine yake ya hasira ilikuwa down at that time.. kawa na busara kuliko mwingine
Aliyepiga risasi alipanda hasira za kimorani ahahahahahah ready to kill simba....lol
Naona umeingiza mizaha sio professionalism
 
Bora hiyo, kesho huyu mtu anakuwa promoted. Utaona.
 
Hii ni hatari
 
Malima amechanganyikiwa kukosa ubunge.
Askari akikupa amri lazima utii tu hata kama una haki zote.
Ingekuwa mie ni yule askari nisingepiga juu kuharibu kuharibu mazingira tu,ningempa Malima risasi kama tano za kwenye vidole vya miguu akajifunze utii bila ya shuruti
 
Malima amechanganyikiwa kukosa ubunge.
Askari akikupa amri lazima utii tu hata kama una haki zote.
Ingekuwa mie ni yule askari nisingepiga juu kuharibu mazingira tu,ningempa Malima risasi kama tano za kwenye vidole vya miguu akajifunze utii bila ya shuruti
 
Polisi ali over react yes
Mwenzake alimtuliza kwakuwa machine yake ya hasira ilikuwa down at that time.. kawa na busara kuliko mwingine
Aliyepiga risasi alipanda hasira za kimorani ahahahahahah ready to kill simba....lol
Sasa si angemjaza tu risasi kwanini alikuwa anaongea tu?
We unaona mwisho wa siku nani kachukua credit pale?
Unafoka tu halafu unaondoka?
 
Askari gani emeshika bunduki halafu anataka kulia yeye mwenyewe.?
 
Reactions: y-n
Ndo maana tunasema vyeti vikaguliwe kwa askari wote.
Mjinga huyu,hajielewi na kapaniki sijui hajala.

Shit kabisa
 
sijui ni elimu au kuvuta bangi, inamaana hawa askari hawafuatilii hata habari kwnye magazeti na tv kujua huyo raia amewahi kuwa kiongozi tena kiongozi wa kitaifa yaani sio mbunge tu wa jimbo bali pia naibu waziri? hii ni aibu kwa jeshi la polisi la nchi hii.
 
Polisi kafunzwa pamoja na kuvumilia kauli kama hizo mbaya huku akichukua hatua stahiki. Kama ni hasira au bunduki hata raia wanazo, unataka niambia wachukuwe hatua mkononi pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…