MT KILIMANJARO
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 4,215
- 760
Ingetakiwa hawa polisi wetu wakaguliwe vyetihuyo polisi atakuwa hana vyeti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingetakiwa hawa polisi wetu wakaguliwe vyetihuyo polisi atakuwa hana vyeti
Polisi ali over react yesSawa kama walikosea,kwanini wasifuate taratibu halali za kuwakamata?
lazima utenganishe kati ya kazi na ishu binafsi hivyo basi ukifuata taratibu huwezi kupandwa na jazba kiasi kile.
Jeshi linataratibu zake,ni zile?
Kwanini kama alikuwa sahihi mwenzake amtulize?
Aliona nini?
Aliyepiga risasi aliangalia wapi anapiga au alikuwa tu anapiga juu?
Hivi kila sehemu hapa nchini,juu ndiyo sehemu salama zaidi?
Lingine hili hapa!...Nenda shule (Gumbalu)kwanza mkuuKwanini yeye ni serikali au?
Naona umeingiza mizaha sio professionalismPolisi ali over react yes
Mwenzake alimtuliza kwakuwa machine yake ya hasira ilikuwa down at that time.. kawa na busara kuliko mwingine
Aliyepiga risasi alipanda hasira za kimorani ahahahahahah ready to kill simba....lol
Bora hiyo, kesho huyu mtu anakuwa promoted. Utaona.True. Kama wangekuwa peke yao sehemu iliyojificha au usiku mkali, yule kijana angeweza kabisa kumtandika Adam risasi ya kichwani. IGP anapaswa kumtafuta yule kijana. Ila kwa maajabu ya Tanzania, usishangae kuambiwa ''huyu mtu tunamtafuta na sio askari police''
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.
Adam Kighoma Malima akuwa mbunge wa jimbo la Mkuranga na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, enzi za Kikwete. Anatokea katika chama cha CCM.
"vibunduki"????Hakuna hawa askari hua wanakurupuka sana wakishakua tu na hivo vibunduki wanajua watu watawaogopa.
Mkuu kuna maisha mengine... nina mke na watoto... siwezi tolea msuri kaka.. Ishatokea watajua wenyeweNaona umeingiza mizaha sio professionalism
Sasa si angemjaza tu risasi kwanini alikuwa anaongea tu?Polisi ali over react yes
Mwenzake alimtuliza kwakuwa machine yake ya hasira ilikuwa down at that time.. kawa na busara kuliko mwingine
Aliyepiga risasi alipanda hasira za kimorani ahahahahahah ready to kill simba....lol
Mnataka muwe nayo nyie peke yenu tuHamna mkuu mbona hata sisi tunayo... jokin
Kama kuna jambo baya duniani kwa kiumbe chochote kile chenye uhai, basi ni dharau.
Nimejaribu kufuatilia issue ya Malima kwa ukaribu...
Ukweli ni kwamba, kuna chembe chembe za kupimana ribs na kuoneshana dharau kati ya raia, waziri, mwanae na waziri dhidi ya Polisi...
Hata kama wewe una haki, kuna namna ya kuzungumza, the issue was already viral.... kumbuka issue ya kumuita "Mwizi alie kwenye gari"
Then Malima anaingilia katikati ya maongezi kati ya polisi na mtuhumiwa (Mwanae)
Mwananchi anadakia polisi akijibizana na Malima "Huna mamlaka wewe, huna mamlaka huyu waziri huyu, ana ulinzi"
Then Polisi anafyatua risasi hewani, Malima anasema " Kiongozi wa msafara wenu yuko wapi " aje hapa....
Hivi wananchi wanadhani hilo walilobeba polisi ni toy au?
Perception ya Dharau inaaniza kwa kijana, kisha baba anaingilia' yet, polisi anaonekana kama third class tu wakati wa mazungumzo, na wananchi wanashadadia....
Nakumbuka kimbembe cha waziri aliewahi ingia kwenye ATM posta bila kupita kwenye foleni....
Viongozi wetu tunawapenda, sheria mmetunga wenyewe, zikiwarudia mnaona mnaonewa... this is hugely unacceptable.....
Yani kwa dharau za kijinga namna ile ningekuwa mimi nisingevumilia hata kidogo.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.... The policeman was provoked to the first degree....