lucas marwa
New Member
- Jun 10, 2012
- 1
- 0
Aliyetishiwa ni kiongozi mstaafu na pia kada wa chama chetu!Hiv mpaka ufike kwa Mh.Mwigulu hapa kati hakuna ngazi.
Bado haifanyi muongeaji awe Mh.Mwigulu.Aliyetishiwa ni kiongozi mstaafu na pia kada wa chama chetu!
Wewe ni msemaji wake ? Tunasubiri tamko la waziri husika kukemea vitendo km hivyo manake vinajirudia!Bado haifanyi muongeaji awe Mh.Mwigulu.
Na ndio maana wewe sio IGP 😀😀Huyu askar kma mm nk IGP. Hna kazi kabisa
Lakini sio afyatue hadharani mbele za watu vile..... Au alitaka kutuonyesha kuwa anahasira sana pale kungekuwa hamna watu. Na yule mzee sio mtu anaejulikana si unge muonja ata nakamoja waje wasingizie ni jambaziKwaiyo ww unataka MTU akivunja sheria achwe sio kila kitu unalaumu askari
Shehena ya masilaha ya kujihami uliyokuwa nayo morogoro ipo wapi Adam? Siyo vizuri kunyanyasika hivi.
We unakaa Dar kweli au Pugu Mwisho wa lamiMuishie huko huko Tandahimba....huku mwendo wa risasi tu.
Ile shehena ya silaha haikuibiwaDu! atakuwa huyu ndugu ana bahati mbaya, si ndie kipindi kile alienda Morogoro wakati akiwa hotelini akaibiwa vitu vyake hadi silaha na pete ya ndoa akavuliwa kidoleni
Hii BONGO ya Tz iko na shida gani bana toto mwaga mboga kaka ipo dada ipo mama ipo yotee kaa tuu eti subiri baba aje aone zeni agombeze ndipo watazoa shiiiiiiWewe ni msemaji wake ? Tunasubiri tamko la waziri husika kukemea vitendo km hivyo manake vinajirudia!
Jamaa aliambiwa kidharau mnamtisha nani na MATOY YENU hayo naye Gwanda akaona isiwe tabu ngoja nikuoneshe hiz ni za ukweli.Ko hawa watu wanaona cku hizi Tanzania imekuwa yao mpaka wanataka kila kitu waonekane wao ndo w@0???? Sisi hatjazoea kuishi kwa mitutu ya bunduki.itabidi huyu aliyefyatua risasi juu akapimwe kwanza
Hana kazi kwa lipi kwani kakosea nini hyo smg kamnyooshea mtuu achemi ushabiki bana.. ina maana kwa vile alikuwa waziri ndo avunje sheria??Huyu askar kma mm nk IGP. Hna kazi kabisa
Unajua iyo risasi ni kodi yetu sisi? Bei ya risasi unaijua?Hana kazi kwa lipi kwani kakosea nini hyo smg kamnyooshea mtuu achemi ushabiki bana.. ina maana kwa vile alikuwa waziri ndo avunje sheria??
Uwaziri sio taaluma kama huyo askari alivyo mtaaluma. Kwa hiyo ilibidi afande ajue hiloHana kazi kwa lipi kwani kakosea nini hyo smg kamnyooshea mtuu achemi ushabiki bana.. ina maana kwa vile alikuwa waziri ndo avunje sheria??