Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Tanzagiza tunakoelekea ni wap [emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
 
Nimeangalia video kama tatu tofauti juu ya tukio hilo.. Ingawa askari ameonekana kama hajatumia akili bt kwa kiasi fulani alichukizwa na dharau zile.. simtetei kwa kupoteza risasi bali namtetea kwa kuwa mara nyingi viongozi wastaafu huwadharau sana polisi..
 

Sasa kupiga risasi juu ndio kujiwahi nini? Point kubwa hapa lile kosa si kosa hata la kutumia kirungu achilia mbali risasi.
 
Ni jambo la kushangaza sana kwa pande zote mbili kuzozana hadi risasi kupigwa hewani shida ni nini maana ni swala kufuata utaratibu,kutii sheria na kuelekezana tu tunasoma na kusomesha ili tukaishi vyema na jamii au elimu zetu hazitusaidii????
 
Ni jambo la kushangaza sana kwa pande zote mbili kuzozana hadi risasi kupigwa hewani shida ni nini maana ni swala kufuata utaratibu,kutii sheria na kuelekezana tu tunasoma na kusomesha ili tukaishi vyema na jamii au elimu zetu hazitusaidii????
Dah! Umenifurahisha sana ndg! Kwa hayo mapoint. Unasema!........... Tunasoma na kusomeshanaaa!!!!. Asante!!!!..........
 
 


Tuna matatizo makubwa sana. Hebu wana sheria fanyeni kazi ya kuusaidia umma kwanza. Halmashauri za majiji, miji na mitaa, ziweke kwanza harama za kueleweka ili wasiwashike madereva kwa makosa ya kutojua wapi hapatakiwi kufanya nini. Pia serikali (TANROAD), ihakikishe kila penye kutakiwa kuwa na harama husika ipo, ni wajibu wao kabla ya kumkamata mharifu kwa kosa ambalo labda hata hajui kama katenda kwa sababu ya kuto kuwepo signs. Hatuwezi kuwa na sheria za kusadikika.
 
Hao Auction Matt wamefanya hicho kipande cha double tree na kile kipande cha old Bagamoyo road, kuelekea Namanga kuwa sehemu yao ya ulaji, wanaingia hadi sehemu ambazo sio rasmi na wanachukua rushwa sana, ushahidi ninao!!
Tupia ushahidi humu tuone
 
Askari wa pili anaonekana kumzuia mwenzake asipige risasi juu.

Kama kweli alikuwa hatarini kwanini mwenzake amzuie na kumsihi aache?

Concentration na macho ya askari wote wawili ilikuwa kwa mtuhumiwa.

Hivyo ni wazi hapakuwepo na hatari yeyote kwa askari hao na kwa ushahidi mwingine yule askari aliwasogelea wale wananchi huku akiongea mbona hakuogopa kuwasogelea wale watu waliokuwa wengi kiasi kile.

*Malima ana makosa pia alipoambiwa mzee ondoka Mara mbili alibakia bado huku akilalamika kwa tendo hilo lazima askari wangekasirika ,Malima pia analo la kujibu.



 
harama ndio kitu gani?
 
Kwahyo ww ulitakaje?
Hebu jivishe uhusika wa askari halafu Malima kapaki gari wrong packing wanashuka watu unaowasindikiza kwaajili ya kazi hyo ya kukamata wanaoegesha magari ovyo anawaita kuwa ni majambazi mpaka watu wanajaa kwaajili ya kuwadhuru.. Je ungefanyeje?
Acheni ishabiki
 
Hapo lile tukio limeangukia kwny kifungu gani..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…