Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwa taarifa yako maaskari wanajua kabisa kuwa kuna raia wana silaha na ndio maana hizo SMG zao wanaziweka tayari muda wote.
Hata kwenye tukio hilo la Malima, huyo askari alijua kabisa kutakuwa na kuwaiana na ndio maana akafyatua za kwake ili kujihami na lolote.
Dah! Umenifurahisha sana ndg! Kwa hayo mapoint. Unasema!........... Tunasoma na kusomeshanaaa!!!!. Asante!!!!..........Ni jambo la kushangaza sana kwa pande zote mbili kuzozana hadi risasi kupigwa hewani shida ni nini maana ni swala kufuata utaratibu,kutii sheria na kuelekezana tu tunasoma na kusomesha ili tukaishi vyema na jamii au elimu zetu hazitusaidii????
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya PRE SCAN AUCTION MATT waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.
Adam Kighoma Malima alikuwa mbunge wa jimbo la Mkuranga na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, enzi za Kikwete. Anatokea katika chama cha CCM.
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya PRE SCAN AUCTION MATT waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.
Adam Kighoma Malima alikuwa mbunge wa jimbo la Mkuranga na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, aliwahi kuwa pia Naibu Waziri wa Fedha enzi za Kikwete. Anatokea katika chama cha CCM.
====
UPDATES:
Adam Malima afikishwa Mahakamani kwa Kumzuia Askari kufanya kazi yake. Habari zaidi soma=>News Alert: - Adam Malima afikishwa Mahakama ya Kisutu na kusomewa shtaka la 'Kumzuia askari kufanya kazi yake'
Tupia ushahidi humu tuoneHao Auction Matt wamefanya hicho kipande cha double tree na kile kipande cha old Bagamoyo road, kuelekea Namanga kuwa sehemu yao ya ulaji, wanaingia hadi sehemu ambazo sio rasmi na wanachukua rushwa sana, ushahidi ninao!!
Maadili ya polisi yako je mkuu!!Yale siyo maadili ya police
harama ndio kitu gani?Tuna matatizo makubwa sana. Hebu wana sheria fanyeni kazi ya kuusaidia umma kwanza. Halmashauri za majiji, miji na mitaa, ziweke kwanza harama za kueleweka ili wasiwashike madereva kwa makosa ya kutojua wapi hapatakiwi kufanya nini. Pia serikali (TANROAD), ihakikishe kila penye kutakiwa kuwa na harama husika ipo, ni wajibu wao kabla ya kumkamata mharifu kwa kosa ambalo labda hata hajui kama katenda kwa sababu ya kuto kuwepo signs. Hatuwezi kuwa na sheria za kusadikika.
Hapo lile tukio limeangukia kwny kifungu gani..?Kwahyo ww ulitakaje?
Hebu jivishe uhusika wa askari halafu Malima kapaki gari wrong packing wanashuka watu unaowasindikiza kwaajili ya kazi hyo ya kukamata wanaoegesha magari ovyo anawaita kuwa ni majambazi mpaka watu wanajaa kwaajili ya kuwadhuru.. Je ungefanyeje?
Acheni ishabiki![]()
b(ii)Hapo lile tukio limeangukia kwny kifungu gani..?
Mwenendo wa makosa ya jinai cpa sehemu 21 kifungu bHapo lile tukio limeangukia kwny kifungu gani..?