Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Kwa maelezo haya, polisi hajafanya kosa kabisa kufyatua risasi hewani.

Kwa sababu, naona maelezo hapo yanasema wananchi walikuwa Karibu kujichukulia sheria mikononi.

Hivyo, polisi kuokoa maisha ya aliyedhaniwa ni jambazi ili asitolewe roho.

Au mi nimeelewa tofauti!?
Kama hujaelewa hadi na Video basi nna shaka na uhalali wa vyeti vyako
 
These guys want to lead by the mafia code.
Its only that those who plan these things and all who execute them are fools!
They should know that some people outside the system can do this better, its just that they didnt decide!
 
Yale yale alikuwa anawaambia Lisu majuzi kuwa wabunge wa ccm na mawaziri wasifurahie kuona polisi wanatumia madaraka vibaya kwa wapinzani kwani tabia hiyo itawarudia.
Sasa tumeona Nape na Leo Malima na bado muziki unaendelea
 
Hakuna mtu anayejua kiswahili 100% kwa sababu hata kiswahili siyo lugha yetu kwa 100% maneno mengine tumetoa lugha za wenzetu (tumetohoa, tumerudufisha n.k)
Tupo wengi sana tunaokijua kiswahili kwa 100%. Usitafute uchochoro dada.
 




Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.

Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.

Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.

Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.

Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.

Hawa Askari ndio Maana wanapokonywa Silaha kizembe sana.
Yaan umebeba Silaha Mkono Mmoja halafu una argue na mtu...
Pale kungekuwa na wale ma Expert wa Mkuranga wangechukua Silaha ile Kilaini kabisa
 
Kama anajua kuzifyatua apelekwe Kibiti/Mkuranga akapambane na wale washikaji sio kujifanya fyatu katikati ya mji!
 
Kuna kitu watu tunashindwa kukijuaa askari nikama sisi raia wakawaida sema wao wanatambulikaa kivyao. Wanatabia Kama za sisi tusio askari. Wakishakuwa kwenye hayo magari yao yakujifungia humo humo kunaa vitu vingi huwa vinafanyikaa ulevi nakadhalikaa sasa usikutee alishukaa kashakvuta cha tarime au kanyonya kimfuko. Msije bishaa askari nao kwenye virobaa wamoo
 
Kama kuna jambo baya duniani kwa kiumbe chochote kile chenye uhai, basi ni dharau.
Nimejaribu kufuatilia issue ya Malima kwa ukaribu...
Ukweli ni kwamba, kuna chembe chembe za kupimana ribs na kuoneshana dharau kati ya raia, waziri, mwanae na waziri dhidi ya Polisi...
Hata kama wewe una haki, kuna namna ya kuzungumza, the issue was already viral.... kumbuka issue ya kumuita "Mwizi alie kwenye gari"
Then Malima anaingilia katikati ya maongezi kati ya polisi na mtuhumiwa (Mwanae)

Mwananchi anadakia polisi akijibizana na Malima "Huna mamlaka wewe, huna mamlaka huyu waziri huyu, ana ulinzi"
Then Polisi anafyatua risasi hewani, Malima anasema " Kiongozi wa msafara wenu yuko wapi " aje hapa....

Hivi wananchi wanadhani hilo walilobeba polisi ni toy au?

Perception ya Dharau inaaniza kwa kijana, kisha baba anaingilia' yet, polisi anaonekana kama third class tu wakati wa mazungumzo, na wananchi wanashadadia....

Nakumbuka kimbembe cha waziri aliewahi ingia kwenye ATM posta bila kupita kwenye foleni....

Viongozi wetu tunawapenda, sheria mmetunga wenyewe, zikiwarudia mnaona mnaonewa... this is hugely unacceptable.....

Yani kwa dharau za kijinga namna ile ningekuwa mimi nisingevumilia hata kidogo.


Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.... The policeman was provoked to the first degree....
 

Attachments

Jamani, nina laana hcho kitendo kwa nguvu na uelewa wangu woteee. Kuna chuki kubwa sn kpnd hk kat ya raia na askari. Tunako elekea kama jeshi la polisi lita endelea na tabia hii kuna uwezekano mkubwa wa kuzuka hari mbaya sn kati ya RAIA na Askari. Malima kawa naibu waziri anajulikana hata kama ni wrong parking anaelekezwa tu co kurusha risas hewani. Najiuliza kama Malima anafanyiwa haya cc raia wa kawaida itakuaje? Si ndo kupgwa rusasi then unasingiziwa jambazu? Hata Wazr husika aliwahi onya kesi za kubambkiziwa zpo na daily wabunge wanapga kelele juu ya hl. Mungu inusulu Tz hatukua hv.
 
Kwa namna nchi hii inavyoendeshwa sitashangaa huyo askari akipandishwa cheo kwa "kazi nzuri". Hivi yule aliyesema anatamani kuwa IGP, anatamani mamlaka gani hasa ya IGP(polisi)? Ni kama haya ya kutumia silaha za moto hovyo hovyo kwa wananchi wasio na silaha?

Hili la Malima pia ni fundisho jingine kwa viongozi wetu hasa wa CCM. Tunapopigania mifumo ya haki na uwajibikaji wajue kuwa haitawafaa wanaoitwa wapinzani tu bali hata wao wenyewe.

Mara nyingine kimoyomoyo wengine tunasema "wacha na wao waisome namba"!
 




Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.

Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.

Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.

Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.

Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.

Ndio "KAMA NJUGU"[emoji15] [emoji15]
 
kasikia kuwa yule aliemtolea nape bastola kapandishwa cheo hivyo nae akaamua kuitumia fulsa hiyo kutafuta nafasi maana hata wale waliokaenda ktk kituo cha radio nao sasa ni mabosi
 
Back
Top Bottom