SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,106
- 8,043
Huo uoga wa watanzania unayeyuka kwa kasi ya ajabu kama bonge la barafu kwenye jua kali.Amani ipi? Taifa la waoga wasiojiamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo uoga wa watanzania unayeyuka kwa kasi ya ajabu kama bonge la barafu kwenye jua kali.Amani ipi? Taifa la waoga wasiojiamini
Kama hujaelewa hadi na Video basi nna shaka na uhalali wa vyeti vyakoKwa maelezo haya, polisi hajafanya kosa kabisa kufyatua risasi hewani.
Kwa sababu, naona maelezo hapo yanasema wananchi walikuwa Karibu kujichukulia sheria mikononi.
Hivyo, polisi kuokoa maisha ya aliyedhaniwa ni jambazi ili asitolewe roho.
Au mi nimeelewa tofauti!?
Hahaaahuyo polisi atakuwa hana vyeti
Tupo wengi sana tunaokijua kiswahili kwa 100%. Usitafute uchochoro dada.Hakuna mtu anayejua kiswahili 100% kwa sababu hata kiswahili siyo lugha yetu kwa 100% maneno mengine tumetoa lugha za wenzetu (tumetohoa, tumerudufisha n.k)
Huyo askari jinsi anavyoitumia hiyo silaha ni hatari kwa maisha yake zaidi kuliko mtu yoyote.Unajifanya mbishi mbele ya SMG... Haya
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.
Kasema ni Adamu kigoma ali malima mbona hata picha inamuontesha au mkuu unakaidi ukweri?Kighoma Malima kwani yuko hai?
Bastola pia inataki uishike kwa mikono miwili.Bastola
kakusudia kubisha ukweri maana picha inamuonyesha Adamu kigoma ally malimaNafikiri ni Adam malima atakuwa amechanganya majina kati ya la baba na mwana