Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Nadhani kwanzia kesho Yule mzee wa Lumumba [HASHTAG]#vuta-nkuvute[/HASHTAG] atabadilisha ile signature yake "bastola ya nini?" Na kuwa
"Bunduki ya nini.....?
 
Aaah mkuu bangi inaingiaje hapo? Kuwa na heshima. Sio unaingiza na vitu ambavyo havipo.
Bila bangi au kiroba utafyatua risasi kirahisi vile. Nini ungepata baada ya kufyatua risasi? Tumia busara bana hatuwezi kujenga Tanzania ya viwanda na wahuni kama nyie
 
Lipo tatizo kubwa,Watanzania hatupaswi kuishi kama wakimbizi {kiroho,kimwili,kisaikolojia}katika nchi yetu wenyewe.Mungu awajalie viongozi wetu hekima zaidi/Busara zaidi,Kuna vitendo vyapaswa kudhibitiwa mapema..Taswira ya taifa inabadirika taratibu kutoka kuwa taifa la amani kwenda kuwa taifa la wasiwasi na hofu..

Binadamu wote ni sawa ila Raia waandamizi katika vyama vya siasa na serikali {Viongozi wastaafu,Mawaziri wakuu wastaafu,Waliowahi kuwa mawaziri} wanapaswa kuthaminiwa na kuenziwa kwa namna moja hadi nyingine.Heshima kwao ni moja ya shukrani juu ya utumishi wao kwa taifa.

Wananchi hawapaswi kuzoeshwa matumizi yasio fuata taratibu ya siraha,mamlaka na nguvu.Tulizoea kusikia haya yakifanyika katika nchi zenye machafuko ama uasi usiokoma.Tusipoziba ukuta tutajenga ukuta.Tusiwakumbatie wachache wenye kuvunja sheria,mila na desturi za taifa kwa kuwapongeza,kuwapandisha vyeo ama kuwaficha.




''Mwenyezi Mungu nijalie uzima wa milele mara baada ya maisha ya hapa duniani ili nisiwe na hofu na wanaoweza kuua mwili huu wa damu na nyama bali nikuhofu wewe uwezae kuua hata roho/nafsi..''
 
Kwa utawala huuu uliopo, adam yatamkuta, na hasa baada ya mkuu kuziona hizi clips, tena sitashangaa kusikia dogo kapandishwa cheo na malima kuwepa 'karipio kali'
 
Bila bangi au kiroba utafyatua risasi kirahisi vile. Nini ungepata baada ya kufyatua risasi? Tumia busara bana hatuwezi kujenga Tanzania ya viwanda na wahuni kama nyie
Malima na mwanae wana makosa.sheria na utaratibu lazima ufuatwe.lakini pia sikuona sababu ya askari kupiga risasi
very true.. mambo ya jazba ame over react
 
Kheri huyo soldier aliyetoa maamuzi hayo kuliko yule mkaguzi wa polisi akiwa askari tisa kule mkoani Lindi kwa kukosa kwake maamuzi gari ya serikali ilichomwa moto.kazi nzuri kwa askari gvt lazima iheshimike.
 
Huyo Malima mwenyewe anatembea na mabundiki na magobore so hiyo iliyopigwa juu anaiona kama microphone tu (In Nape's voice )

Pia hao raiya wako kwenye mafunzo ya kuzoeya bunduki.
 
Malima ana bahati sana ningekuwa mimi ndo polisi jina lake lingekuwa limeshabadilika na pengine tungekiwa tumeshagawana majengo ya serikali, yeye muhimbili mimi ukonga
 
Viongozi wengi wanayatumia madaraka yao Kama tiketi yakuwa juu ya sheria.
Kama unaongelea viongozi wanaotumia vibaya madaraka yao.

Basi top of the list Inabidi awe Ba'Jesca.....

Mifano iko mingi, ila ambao unaonyesha dhahiri kuwa jamaa amelewa madaraka, ni pale alipotamka pale Ubungo kuwa fomu ya Urais alienda mwenyewe kuchukua kule Dodoma, kwa hiyo hakuna mtanzania yeyote anayepaswa kumpa ushauri wa aina yoyote ile kuhusiana na namna ya kuiendesha nchi hii......

Jamaa amesahau kuwa CHEO NI DHAMANA!
 
Mimi ningempa ya utosi kabisa atangulie mbele za haki, sipendi dharau Mimi. Ana bahati huyo sana huyo mtu kakutana na mapolisi yenye akili
 
Unahisi wewe ndio unajua zaidi kuliko yule polisi mwenzie aliyekuwa anamzuia asifanye chochote?
 
Hii nchi imekua ya hovyo zaidi ilikua haina haja ya kufyatua risasi tatizo nchi inaongozwa kwa kiki
 
Back
Top Bottom