Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Naku inboxPole sana.
Tatizo nini,(sorry)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naku inboxPole sana.
Tatizo nini,(sorry)
Akili za watanzania wengi ni kama zako, upo sahihi kabisa mkuu.Kwani Malima yupo juu ya sheria? Hata kama angekuwa nani alipaswa kutii amri ya askari. Haijalishi yeye nani. Swala la uheshimiwa ni baadae.
umepataUnasema hayo ukiwa nyuma ya keyboard
Huwezi kuamini baba yake Bashite atampongeza huyu askari na cheo atampandisha.
BashiteWe kama nani umuombe maeleze Mhe Waziri?
HAKIKA!Na sijui ametoa wapi mamlaka ya kuuliza swali kama lile..
Swali la askari lilipaswa liwe "kwanini hamtii amri halali"?
Mambo hayaamuliwi kwa hisia mdogo wangu. Polisi kuwa na uchungu ni dalili ya yeye kukosa control. Inanishangaza mnapowashangaa wananchi kutowapenda polisi huku matendo kandamizi hamyasemi.ulimsikia askari aliyefyatua risasi akiongea kwa uchungu "kwanini hamuheshimu serikali??"
Tanzania viongozi wanajiweka matiti mbele na usiye kiongozi unanyanyaswa.
Wote tuwe watii wa sheria......tusiwaangalie polisi kwa makengeza kwakuwa kila mara wako wrong
Nimeangalia vizuri, polisi amefyatua risasiHebu tafuta hiyo video uangalie basi
Raia wanapoomba kumiliki silaha moja ya mambo wanayochunguzwa ni pamoja na ustahimilivu!Polisi hapaswi kuwa provoked kiasi cha kufyatua risasi hewani!Anapaswa apimwe akiliDharau hizi hizi dhidi ya polisi ndizo zimemfikisha Manji katika usumbufu ule unaomuandama sasa hivi, let say Bashite alikosea kumuita kupitia media, Manji kwakua alijua yeye ni maarufu akaita media kuongea na kutoa kejeli, kafika police wapambe wake wanasafisha gari kama ishara ya dharau.
Jamani hakuna anayependa kudharauliwa wala kupandishiwa sauti awapo eneo lake la kazi, hata uende getini umkute KK security ukionesha dharau/kejeli ya kazi yake lazima atalazimika kukuzuia usiingie na pengine utazuka ugomvi.
Watanzania mara zote tunasema polisi ndio watu wabaya lakini mabaya yetu hatuyasemi, hata wewe unayedhani polisi wanakosea kila siku ukipata nafasi ya kuwa polisi hutakubali kudharauliwa mtambueni polisi kama kiongozi wa ulinzi na usalama sasa mnapoonesha dharau lazima atakwazika(human nature)
Mithali 27:12....jiwe ni zito na mchanga ni mzito... Lakini kukasirishwa kwa mpumbavu kuzito kuliko hivyo vyote viwili (uzito na mizigo) [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Ukisikia mwalimu anamfokea kwa nguvu mwanafunzi ati KWANINI HUNIHESHIMU,.....jua Mkuu wa shule aidha analewa gongo au ni swahiba wa mwanafunzi!!
"Kwanini hamuiheshimu seriikali??!!!.."...Hili ni swali la mtu aliyekata tamaa!!!
Mithali 27: 12 Jiwe ni zito na mchanga ni mzigo,
lakini kukasirishwa na mpumbavu ni kuzito
zaidi kuliko hivyo vyote viwili.
Mchana huu pamesikika milio ya risasi maeneo ya Masaki karibu na Double tree Hotel.
Yalikuwa ni majibizano kati ya Majembe Auction Mart waliokuwa wameambatana na Polisi walipojaribu kukamata gari lilokuwa limeegeshwa pembeni ya barabara hali ya kuwa Dereva yupo ndani.
Inasemekana gari lilikuwa la Mwanae Kighoma Malima aliyeenda IOM kufatilia ishu zake.
Mtu wa Majembe akavamia gari hilo na alipodaiwa kuonyesha vitambulisho aligoma kutoa ndio wananchi walipolizingira gari wakitaka kumpiga wakijua ni jambazi.
Polisi aliingilia kati na katika majibizano akafyatua risasi juu kumtishia ndugu Malima aliyekuwa hana hata silaha wala hakukuwa na mwananchi aliyekuwa na silaha.
Adam Kighoma Malima alikuwa mbunge wa jimbo la Mkuranga na Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, enzi za Kikwete. Anatokea katika chama cha CCM.
Kwa hakika kuna watu mkuu, sijui inakuwaje. Mpaka unawakatia tamaa. Hata jambo la kipuuzi linatetewa.Kwahiyo mtu akikuuliza mkuu wa masafara yuko wapi ni dharau? Hivi nyie ni nani aliewashikia akili zenu? Au ndio jinsi mlivyozaliwa?
Polisi anapiga risasi hewani halafu unasema eti alidharauliwa.