Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

Unaelewa Principles Na Maadili Ya Matumizi Ya Silaha? Hata Kama Malima Alidharau, Yule Polisi Kakosea, Hakukuwa Na Ulazima Wa Kufyatua Risasi, Vp Madhara Kwa Wananchi?
Tenaa kwa mujibu ya ile video kafyatua risasi zaidi ya mojaa sasa nikwamba alikuwa anapambana na mwenye silahaaa mwnzake au mizukaa. Wakapimwe jaman ndo hawa wanaojiuagaa wakiwa lindo. Kwa mwenye akilii kiukweli hakukuwa na hajaa ya kumwaga njugu zote zilee
 
Sasa huyu dogo na ligobore lake hivyo unajisogeza mtu si anakushika na kukutia kerebu..[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndio maana nimesema nimemkubali sana yule polisi aliyefyatua hakika ana uchungu na watu wenye dharau dadadeki.Kijana kunywa bili niletee sitaki ujinga mimi
Buku 7 itatosha?
 
2013
a7fda898b71c1cd063deb4ed88e781b8.jpg
 
Ulimskia jamaa anasema "nimeapa Mimi huu mkanda una bendera, nimeapa" hivi alikuwa ana maanisha nini hasa!?

I personally don't find the logic out of that furious utterances
Yuko very deep na taifa lake.Big up askari
 
Nimemkubali sana yule polisi natamani Magu amupandishe cheo ili watu waache ujinga wa kulewa madaraka.pumbafu

Siku akikutokea ndiyo utajua kaka .Leo ni furaha.Yule polisi hajaguswa wala hajatukanwa.Hivi hawa Yono miaka UA nyuma walikuwa wanatembea na polisi??

Hivi unajua hawa Yono wanadai rushwa??Maeneo ya Masaki yote ni nyumba za watu unapoenda kumkamata magari hivi ni kweli wrong parking au tu natafuta pesa za kufuata viatu??
 
Yuko very deep na taifa lake.Big up askari

Hakuna cha kuwa deep wala nini wezi wote wale wanafuata rushwa kwenye magari ya Watu waliopark pembeni.

Tuulizeni tunafanya kazi masaki.Yono na Polisi hao wa Tigo ni shida.Wanademand rushwa hata pasipo na sababu.Ni wezi na wala rushwa a hakuna cha kiapo ushenzi mtupu
 
Wameshaona muongozo,aliyemtolea Nape silaha kapeta!Wamesoma game,huyu akipeta basi tutegemee matukio mengi tu ya askari kutumia silaha zao hata pale pasipotakiwa kufanya hivyo!

Swali la msingi;Ni wakati gani au mazingira gani askari anapaswa kupiga risasi hewani???
Wakati wowote anapohitaji kufanya hivyo kwa lengo la kulinda usalama kwa kadri ya ujuzi aliofundishwa.

Sisi tunataka polisi wafanye kazi inayotufurahisha Never askari kupendwa ni ndoto duniani kote.

Yule jamaa kaonesha jeuri na kiburi cha pesa, huwezi kujibu nyodo kwa askari.

Haya mambo ndiyo yanamsumbua Manji mpaka leo, wenzake wote waliachiwa
 
Nimeangalia vizuri, polisi amefyatua risasi
Ukweli usipingika ni kwamba huyo jamaa amewajibu nyodo kwa kua baba yake alikua mtu mkubwa kwenye system, kumbuka inauma sana mtu kukufanyia dharau uwapo katika eneo lako la kazi, mambo haya haya ndiyo yalipelekea Ditopile akampiga mtu risasi kisa anajua yeye ni mtu kutoka kwenye system na wengine anawaona kama vikaragosi, na watu wengi tumekua tukiwadharau polisi kwa kua vipato vyetu vinatupa kiburi.

Tusiegemee upande mmoja wa polisi, tujiulize chanzo cha polisi kukasirika ni nini? Kama yale majibizano yao tungeyasikia yote basi tungejua yule jamaa kamjibu nini polisi mpaka polisi kuchukia kiasi kile.

Hata wewe ungekua KK security ukijibiwa nyodo hata geti utagoma kufungua
Kumbe polisi akijibiwa nyodo inatakiwa afyatue risasi??sijawahi kulijua hili
 
Nijue inisaidie nini? We unaona alivyofuatua risasi kawatengenezea wananchi image gani?
 
Milio ya risasi ikizoeleka kwenye taifa lolote ni hatari kubwa sana
 
Kama hujaelewa hadi na Video basi nna shaka na uhalali wa vyeti vyako

Usilolijua ni msitu wa mpingo kuhusu elimu.

Polisi, katumia busara sana, ila watu wengi ni wanafiki sana na ni mapopo katika fikira zao nawe ukiwemo.

Hilo tukio , lina mitazamo mingi ila hitimisho ni kuwa polisi aliongezea hiyo ya hewani ili kutuliza wapuuzi ambao wangetaka kufuata kituoni, maana huwa hamkosekani wa kukimbia nyuma ya gari la polisi kwenda kituoni.
 
Unaelewa Principles Na Maadili Ya Matumizi Ya Silaha? Hata Kama Malima Alidharau, Yule Polisi Kakosea, Hakukuwa Na Ulazima Wa Kufyatua Risasi, Vp Madhara Kwa Wananchi?
Hujui kitu usifikiri hiyo silaha amebeba kama manati ya ndege. Huyu ana busara sana kupiga juu kutawanya watu. Malima kama wazirj mstaafu alitakiwa kuwa na busara kuliko kubeza Askari yeye akipata shida anakimbilia kuomba msaada huko huko Polisi
 
Back
Top Bottom