Skylar
JF-Expert Member
- Nov 10, 2021
- 2,334
- 5,550
Labda aliwapenda wote kwa nyakati tofauti😅Mhhh mbona mie Mama yangu amezaa na Wanaume 4 tofauti,mie na Kaka yangu kila mmoja ana baba yake.Baba mwingine-watoto 2 na Baba mwingine watoto 3.
Sasa hapo alimpenda Baba yupi?? maana wote 4 alizaa nao.