Masanja ataonekana shujaa zaidi akiachana na Monica

Masanja ataonekana shujaa zaidi akiachana na Monica

Ila kuna wanawake wajengewe Sanam kwa ujasiri kabisa unakubali kufunga ndoa na mtu ambaye huna hisia nae😬
 
Yeye ndio mjane mlengwa haswaaa una ambiwa kwa mujibu wa mke wa marehem siku wanafunga ndoa Monica aliliaa na kamasi zikatoka😁😁😁sembuse kumpoteza kabisa
Nimebaki namshangaa Monica, kwa hiyo kwenye ndoa yake alikua kama kivuli ila moyo wote upo kwa katibu mwana wane
 
Nimebaki namshangaa Monica, kwa hiyo kwenye ndoa yake alikua kama kivuli ila moyo wote upo kwa katibu mwana wane
Mwanamke,mwanamke narudia Mwanamke siku sote ana zaa na yule aliyempenda kweli kweli huoni bibie katoa pacha wa katibu ubaya alijisahau kama yupo kwenye ndoa takatifu.
 
Walio kwenye app ya Mange watakuwa washaisikiliza!! Watakuja kutupa update yote ya mazungumzo!! Masanja kweli kajizima Data yaani unagongewa waziwazi halafu maisha yanaendelea!!
Labda Hana kizazi ndo maana kakaza fuvu.
Watoto wote wawlli and still you say I love my wife.

Anampendea kitu gani? Au kuna Siri kamfichia.
 
Unajua watu wanaongea sana lakini mambo ya wanandoa ni siri sana, watu wanaweza kuongea sn kumbe maskini ukute Masanja hasababishi kitu wakapangana na wife ili amfichie madhaifu yake, mama akafanya yake. Na ndio maana naamin Katibu kajinyonga na mengi sana, sithan kama mtu mzima tu ajinyonge eti kisa kakataliwa na mke wa mtu bas wangejinyonga wengi. Kuna siri nzito sana Masanja na mkewe wanayo ndio maan Masanja anampambania mkewe
 
Isingekuwa hayo macho ningesema mtoto ni wa Masanja,pia isingekuwa komwe ningesema mtoto ni wa baba mchungaji,vilevile isingekuwa kicheko chao wanafanana ningesema mtoto ni..... lakini hii ndio maana ya Dunia uwanja wa fujo.
Mamy laishisha Kwa kusema amechapiwa
 
Back
Top Bottom