Masanja ataonekana shujaa zaidi akiachana na Monica

Masanja ataonekana shujaa zaidi akiachana na Monica

Lkn sasa mwenye ndoa amesema hamuachi,wewe kinakuuma nini asipomuacha?,
Sijui lakini kama wewe unafamilia au la. unapata wapi ujasiri wa kulea watoto wa nje.

Mwanamke Tu mwenye watoto kuolewa ni bahati na sibu. Je aliyezaa watoto wote na mtu mwingine huku tayari mmeoona labda uwe zezeta ndo utavumilia. Hata malaika angemtosa huyu mwanamke.

Kwani Monica ana kitu gani cha ziada Hadi amzalilishe masanja kiasi hicho. Masanja ndo anamiliki uchumi wa familia, Mwanamke mpumbavu siyo wa kucheka naye.

Afu eti kuhusu watoto watalelewana Nani Monica atajua mwenyewe masanja siyo jukumu lake kulea watoto wa watu wengine.

Yaani kitu cha aibu Sana mkeo anazalishwa na wewe upo kweli tena watoto wawili..

Monica anabahati ingekuwa Kwa mwanaume mwingine tungekuwa tumeshaimba parapanda imelia

Lkn sasa mwenye ndoa amesema hamuachi,wewe kinakuuma nini asipomuacha?,unataka aachwe yy ili aolewe nani?
 
Na ana upendo wa kweli kakubali kumzalia akiwa kwenye ndoa
Na wanawake wakikupenda hi michezo wanafanya Sana,

Nina ex Wangu kaolewa nae aliwahi nambia anataman anizalie mtoto akiwa kwny ndoa yake iwe Kama kumbukumbu.

Nilikwepa huo mtego maana matokeo yake najua hayawezi kua mazuri

Hii michezo wanawake hufanya sana
 
Kama kuna watu wanamdaganya eti ooh wewe ni kioo cha jamii mara pasta

Huo ni uboya. Mtu yeyote anayejielewa hawezi kukubali upuuzi uliofanywa na Monica.

Kuendelea kuishi naye ni kujitakia maumivu ya moyo maisha yake yote.

Let it go. Waafrica tudanganyana Sana eti ndoa za maisha, Bill gate kavunja ndoa utakuwa we masanja.

Kwanza mtaishije humo ndani na watoto wasio wako. Au ndo tusubiri tusikie mmechinjana. Let it go continue with your hustles man.

Utampendaje mwanamke asiyekuheshimu umerogwa au yaani achepuke Hadi kukuletea watoto wote wa nje what the F**k dharau ya namna gani hiyo acha uboya piga chini akwende zake.
Pasta wa dini gani, au wa vichekesho? Haijui biblia kama ni wa kikiristo.

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom