Masanja ataonekana shujaa zaidi akiachana na Monica

Masanja ndio aliingilia penzi la watu kwa maelezo ya mke wa Mwendazake,
Nadhani alitumia nguvu ya pesa kumpata yule bibie.
Hili ndilo kosa namba moja katika mahusiano, huwezi kuvunja bond ya kimapenzi baina ya wawili kwa kuingiza hela. Fedha huwa inapumbaza ukiwa na ugeni nayo ila ukiizoea tu you get back to your senses kuwa haupo mahali sahihi.

Wote waliojaribugi kucheza faulo ili kupora wanawake za watu au wapenzi kwa nguvu ya hela waliishia pabaya mno.
 
Na ana upendo wa kweli kakubali kumzalia akiwa kwenye ndoa
 
Ukilazimisha kuuvaa uanaume huwezi ku-fit wewe ni mwanamke huwezi kuyaona yaliyo kwa wanaume.

Hakuna anayeumia as long as ni maisha yake sisi wanaume wenzake tunaliangalia hili jambo kwenye angle ya msingi wa familia yake kama mwanaume mwenzetu,mwanaume aliyeowa anakuwa na utulivu wa maisha pale ametoa na kulea watoto kutoka ktk kiuno chake siyo vinginevyo!

Mazanja ana-act ana utulivu wa nafsi wakati tunajua na tunaamini kwamba kama ana uume kama wanaume wengine lazima hili jambo linamla vibaya sana,namaanisha vibaya kweli kweli na asipokaa kwa akili atakuja afanye kitu apotee kabisa.
Well said
 
Hili ndilo kosa namba moja katika mahusiano, huwezi kuvunja bond ya kimapenzi baina ya wawili kwa kuingiza hela. Fedha huwa inapumbaza ukiwa na ugeni nayo ila ukiizoea tu you get back to your senses kuwa haupo mahali sahihi.

Wote waliojaribugi kucheza faulo ili kupora wanawake za watu au wapenzi kwa nguvu ya hela waliishia pabaya mno.
Mwanawane anasema alikitu kitu bikraaa au alimaanisha bikra ingine
 
Kwanini ukimbilie kuhukumu badala ya kusamehe?

Luka 17:4
[4]Na kama akikukosa mara saba katika siku moja, na kurudi kwako mara saba, akisema, Nimetubu, msamehe.
And if he trespass against thee seven times in a day, and seven times in a day turn again to thee, saying, I repent; thou shalt forgive him.
Bujubuji Acha porojo masanja anaumua Sana huko aliko.
Kwanini ukimbilie kuhukumu badala ya kusamehe?

Luka 17:4
[4]Na kama akikukosa mara saba katika siku moja, na kurudi kwako mara saba, akisema, Nimetubu, msamehe.
And if he trespass against thee seven times in a day, and seven times in a day turn again to thee, saying, I repent; thou shalt forgive him.
Bujibuji Simba Nyamaume Acha porojo. Maumivu aliyo nayo masanja siyo ya dunia hii.

Hiyo mistari ya Biblia haitaponyesha kilema alichopewa na Monica
 
Aisee nipo nyuma mno! Hili tukio nalipata juu juu tu bado sijapata mmbea wa kunipa full details!
[emoji28][emoji28] We ni mmoja kati ya wale waathiriwa wa msemo wa TAFUTA HELA, unazisaka hela unasahau kufuatilia updates zinazoibuka humu duniani! Bila shaka hufahamu hata kuwa Mwezi Desemba uwanja wa Taifa unauzwa kwa wachina kufidia deni la taifa[emoji41][emoji41]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] masanja lazma atakuwa kampeleka DNA yule dogo.
Duniani kuna siri ngumu sana za utajiri.

Vipi kama 1wapo ya makubaliano Jamaa asiwe na uzao wake halisi isipokuwa kupitia Me mwingine na makubaliano yaliafikiwa na mwandani?

Au sababu ya kutomuacha mwandani labda anajua siri zake nzito zaidi hata biashara haramu nnje ya kanisa kama wasemavyo wandewa?
 
Dunia uwanja wa fujo
 
[emoji28][emoji28] We ni mmoja kati ya wale waathiriwa wa msemo wa TAFUTA HELA, unazisaka hela unasahau kufuatilia updates zinazoibuka humu duniani! Bila shaka hufahamu hata kuwa Mwezi Desemba uwanja wa Taifa unauzwa kwa wachina kufidia deni la taifa[emoji41][emoji41]
Dah! Kweli napitwa na mengi!
 
Back
Top Bottom