The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Yah nashkuru kwa masahihisho mie nilijua jamaa ni MsukumaMasanja ni jina la kazi (comed) sio jina lake halisi na masanja sio msukuma kwa taarifa yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yah nashkuru kwa masahihisho mie nilijua jamaa ni MsukumaMasanja ni jina la kazi (comed) sio jina lake halisi na masanja sio msukuma kwa taarifa yako.
Unamaanisha kuuawa?Binafs ukiniambia hii ndio sababu ya katibu kujiua naweza afikiana nayo. Maana ni shidaa
Si kweliKugongewa hakuvumiliki, Usaliti hausamehewi.
Hapana mkuu tulikuwa mahali na dear ghafla kuna jamaa nilisoma nae akanistua akaja karibu yangu kunisalimia tukawa tunazungumza shida ilianzia alipo omba namba😁😁😁Ulitaka uchepuke!?
Mbena.....Kama niko sahihi Masanja siyo Msukuma, ni Mnyakyusa. Hilo jina Masanja ni la "kazi"
Hili ndilo kosa namba moja katika mahusiano, huwezi kuvunja bond ya kimapenzi baina ya wawili kwa kuingiza hela. Fedha huwa inapumbaza ukiwa na ugeni nayo ila ukiizoea tu you get back to your senses kuwa haupo mahali sahihi.Masanja ndio aliingilia penzi la watu kwa maelezo ya mke wa Mwendazake,
Nadhani alitumia nguvu ya pesa kumpata yule bibie.
Macho sasa..
Kuuwawa to be Exact. Maana kujiua hai make senseUnamaanisha kuuawa?
Na ana upendo wa kweli kakubali kumzalia akiwa kwenye ndoaHili ndilo kosa namba moja katika mahusiano, huwezi kuvunja bond ya kimapenzi baina ya wawili kwa kuingiza hela. Fedha huwa inapumbaza ukiwa na ugeni nayo ila ukiizoea tu you get back to your senses kuwa haupo mahali sahihi.
Wote waliojaribugi kucheza faulo ili kupora wanawake za watu au wapenzi kwa nguvu ya hela waliishia pabaya mno.
Well saidUkilazimisha kuuvaa uanaume huwezi ku-fit wewe ni mwanamke huwezi kuyaona yaliyo kwa wanaume.
Hakuna anayeumia as long as ni maisha yake sisi wanaume wenzake tunaliangalia hili jambo kwenye angle ya msingi wa familia yake kama mwanaume mwenzetu,mwanaume aliyeowa anakuwa na utulivu wa maisha pale ametoa na kulea watoto kutoka ktk kiuno chake siyo vinginevyo!
Mazanja ana-act ana utulivu wa nafsi wakati tunajua na tunaamini kwamba kama ana uume kama wanaume wengine lazima hili jambo linamla vibaya sana,namaanisha vibaya kweli kweli na asipokaa kwa akili atakuja afanye kitu apotee kabisa.
So kapigwa eeh 😀😀Macho hayo
Mwanawane anasema alikitu kitu bikraaa au alimaanisha bikra ingineHili ndilo kosa namba moja katika mahusiano, huwezi kuvunja bond ya kimapenzi baina ya wawili kwa kuingiza hela. Fedha huwa inapumbaza ukiwa na ugeni nayo ila ukiizoea tu you get back to your senses kuwa haupo mahali sahihi.
Wote waliojaribugi kucheza faulo ili kupora wanawake za watu au wapenzi kwa nguvu ya hela waliishia pabaya mno.
Bujubuji Acha porojo masanja anaumua Sana huko aliko.Kwanini ukimbilie kuhukumu badala ya kusamehe?
Luka 17:4
[4]Na kama akikukosa mara saba katika siku moja, na kurudi kwako mara saba, akisema, Nimetubu, msamehe.
And if he trespass against thee seven times in a day, and seven times in a day turn again to thee, saying, I repent; thou shalt forgive him.
Bujibuji Simba Nyamaume Acha porojo. Maumivu aliyo nayo masanja siyo ya dunia hii.Kwanini ukimbilie kuhukumu badala ya kusamehe?
Luka 17:4
[4]Na kama akikukosa mara saba katika siku moja, na kurudi kwako mara saba, akisema, Nimetubu, msamehe.
And if he trespass against thee seven times in a day, and seven times in a day turn again to thee, saying, I repent; thou shalt forgive him.
[emoji28][emoji28] We ni mmoja kati ya wale waathiriwa wa msemo wa TAFUTA HELA, unazisaka hela unasahau kufuatilia updates zinazoibuka humu duniani! Bila shaka hufahamu hata kuwa Mwezi Desemba uwanja wa Taifa unauzwa kwa wachina kufidia deni la taifa[emoji41][emoji41]Aisee nipo nyuma mno! Hili tukio nalipata juu juu tu bado sijapata mmbea wa kunipa full details!
Duniani kuna siri ngumu sana za utajiri.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] masanja lazma atakuwa kampeleka DNA yule dogo.
Dunia uwanja wa fujoDuniani kuna siri ngumu sana za utajiri.
Vipi kama 1wapo ya makubaliano Jamaa asiwe na uzao wake halisi isipokuwa kupitia Me mwingine na makubaliano yaliafikiwa na mwandani?
Au sababu ya kutomuacha mwandani labda anajua siri zake nzito zaidi hata biashara haramu nnje ya kanisa kama wasemavyo wandewa?
Itakuwa alikuta bikra ya uwani ndio sealed ila Voda wahuni walishasajiliMwanawane anasema alikitu kitu bikraaa au alimaanisha bikra ingine
Dah! Kweli napitwa na mengi![emoji28][emoji28] We ni mmoja kati ya wale waathiriwa wa msemo wa TAFUTA HELA, unazisaka hela unasahau kufuatilia updates zinazoibuka humu duniani! Bila shaka hufahamu hata kuwa Mwezi Desemba uwanja wa Taifa unauzwa kwa wachina kufidia deni la taifa[emoji41][emoji41]
Hahahahah mwanamke anazaaga na mtu anayempenda. The most preffered kwa wakati huo ndio huwa anachukua jiko.Na ana upendo wa kweli kakubali kumzalia akiwa kwenye ndoa