Masanja ataonekana shujaa zaidi akiachana na Monica

Mhhh mbona mie Mama yangu amezaa na Wanaume 4 tofauti,mie na Kaka yangu kila mmoja ana baba yake.Baba mwingine-watoto 2 na Baba mwingine watoto 3.
Sasa hapo alimpenda Baba yupi?? maana wote 4 alizaa nao.
Labda aliwapenda wote kwa nyakati tofauti😅
 
Kwani Masanja yeye Hana watoto wa nje? Kwani Monika akiwa nao kuna ubaya gani? Wanaume acheni kujipa umungu, ninyi kuzaa nje sawa ila kwa wanawake hapana, ninyi hamtaki kuoa mwanamke aliyezalishwa na wazalishaji ni ninyi wenyewe hivi nani alisema?
 
Katibu na Monica ni trab na trat ilikuwa lazima kutenganishwa kwa namna hii
 
Mi kuna mmoja alibeba makusudi ikatunga nje nikashukuru maana ilitolewa
 
Mambo ya walawi 21: 7 (Usioe Kahaba)
Matayo Mt 5: 32 (Mke ataachwa kwa kosa la uasherati tu)
Matayo Mt 19: 9 (Mke ataachwa kwa kosa la uasherati tu)
 
Ndugu wa marehemu katibu wanataka watoto wao.ndugu yao amefariki na kaacha watoto ndugu wanawataka watoto wa marehemu.
 
Jifunze kupambana na hali yako, wewe unamsema Masanja hapa unaweza kukuta kwako kunawaka moto.
 
Kwanini huwa hamridhiki na fimbo moja , kutwa kukitembeza kwa wahuni , mwisho mnawasababishia vifo.
 
Tatizo Mazanja (ashakum siyo matusi) kinachom-cost ni kabila,Msukuma na rangi nyeupe ni kama Mbwa kwa Chatu yaani anajipeleka mwenyewe na hii kwa experience yangu niliyowahi kushudia kwa watu ninaowajua litamyumbisha sana!
Masanja sio msukuma, vitu kama hamvijui muwe wapole, sio kujifanya mnajua kutoa maoni kwenye kila kitu.
 
Mambo ya walawi 21: 7 (Usioe Kahaba)
Matayo Mt 5: 32 (Mke ataachwa kwa kosa la uasherati tu)
Matayo Mt 19: 9 (Mke ataachwa kwa kosa la uasherati tu)
Kusamehe saba mara sabini ndio upendo. Upendo husitiri wingi wa dhambi

1 Petro 4:8
[8]Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendano husitiri wingi wa dhambi.
And above all things have fervent charity among yourselves: for charity shall cover the multitude of sins.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…