Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Yaani kwa Jinsi tulivyo sisi naamini kabisa katika hilo kanisa lake kuna njemba zinajipanga kumtongoza huyo mwanamke.
Ni kama walikuwa hawaamini kuwa anatoa ila baada ya kushuhudia ya katibu basi nao wanapanga mikakati ya kumtia.
Moyoni wanajisemea:
“KUMBE ANATOA???
ngoja
Lazima na mimi nimgonge”

Na watamgonga kweli alafu nao wajiue tena kama katibu.
 
It's a Bad man! Trying to look good in Dior!…. Ni hisia zangu tu!...
 
Wewe ndo unawaona vicheche lakini ukweli ni kwamba wanaume wengi wanapenda slut chicks mnajishaua tu hapa.
Huko mlipo wake zenu hawawezi tena mambo wapo wapo tu wameshakosa ladha au wamewachoka na hao vicheche ndo pona yenu.
Sasa si utulie na wewe kicheche!? Mtakuja kuuawa nyie!?
 
Video hiyo hapo
View attachment 2378508
"Yaani namuachaje huyu msichana, nimuache huyu dada halafu? Yaani hata ndoa ziishe leo zote halafu kesho tuanze upya namrukia huyu huyu! Nataka niwaambie kwa lugha rahisi, ninamshukuru Mungu kwasababu Mungu yupo kazini."

"Yote ambayo wanangu mnasikia, msiende na mikumbo watu wanachoongea, endelea kuamini katika ukweli ya kwamba tunachokwambia mke wangu mimi ni mke ambaye mnaishi naye hapa kanisani mnaelewa. Ni mke ambaye anajichanganya na ninyi, hatengenezi umbali kati yenu na sisi, na hili ni darasa nililifanya kwakwe."

"Anaongea na watu wote, anacheka na watu wote, hivyo ndivyo huyu mwanamke alivyo. Haiwezi kutokea tutengeneza mazingira ya kumfanya asiongee na watu."

"Natamani dunia ielewe leo kwa jinsi ninavyomuelewa huyu msichana, tuweke uchungaji na kanisa pembeni, nimkute uso kwa uso anapiga "gemu" na mtu, namkamata kwanza wife halafu nampima yule jamaa nammudu au simmudu? Nikiona hii ngoma siiwezi kuzipanga atanipasua, nitarusha maneno tu lakini wife naondoka naye."

"Sisi tumeoana hadi kitutenganishe kifo. Hakuna stori hapa kati kati, mchawi, pepo, jini cha kusambaratisha. Nataka nikukwambie mabaya yote yanayokuja mbele yetu hatushindi kwa akili, uweza na nguvu zetu, tunaye anayetupa kushinda, ndiyo maana nina uhakika wa kubaki na mke wangu mpaka siku ya unyakuo."
Sawa mwanawane, tunawatakia ndoa yenye amani
 
Lakin kumbuka kuna mtu amejiua walitakiwa wakae kimya na kutoa pole kwa msiba angebalance sasa wanafurahi utafikiri kawaida tu wakati mtu kajiua kwaajili ya mkeo
yaaani... nimeshindwa kumuelewa huyu dogo masanja yaani kachukulia poa kabissaa yaani yeye anawaza mcharuko wake tu amesahau kabisaa kuwa alikuwa anasaidiwa💦💦💦kunyoroshewa mcharuko wake pia hakuonyesha kabisa huzuni juu ya kifo cha katibu wake yaani kaishia .. "namuachaje mcharuko kama huyu kweli☹☹☹😎🙄🙄"
 
Back
Top Bottom