KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Hakuna mwanaume yoyote mwenye utimamu wa akili anaweza kumpa taraka mkewe kwa kesi kama hii......labda awe ni mvulana pekee........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi hapa ushindi upo kwa Masanja, wengine wanasema angekaa kimya, nani aliwaambia kila wakati unapaswa kukaa kimya?Video hiyo hapo
View attachment 2378508
"Yaani namuachaje huyu msichana, nimuache huyu dada halafu? Yaani hata ndoa ziishe leo zote halafu kesho tuanze upya namrukia huyu huyu! Nataka niwaambie kwa lugha rahisi, ninamshukuru Mungu kwasababu Mungu yupo kazini."
"Yote ambayo wanangu mnasikia, msiende na mikumbo watu wanachoongea, endelea kuamini katika ukweli ya kwamba tunachokwambia mke wangu mimi ni mke ambaye mnaishi naye hapa kanisani mnaelewa. Ni mke ambaye anajichanganya na ninyi, hatengenezi umbali kati yenu na sisi, na hili ni darasa nililifanya kwakwe."
"Anaongea na watu wote, anacheka na watu wote, hivyo ndivyo huyu mwanamke alivyo. Haiwezi kutokea tutengeneza mazingira ya kumfanya asiongee na watu."
"Natamani dunia ielewe leo kwa jinsi ninavyomuelewa huyu msichana, tuweke uchungaji na kanisa pembeni, nimkute uso kwa uso anapiga "gemu" na mtu, namkamata kwanza wife halafu nampima yule jamaa nammudu au simmudu? Nikiona hii ngoma siiwezi kuzipanga atanipasua, nitarusha maneno tu lakini wife naondoka naye."
"Sisi tumeoana hadi kitutenganishe kifo. Hakuna stori hapa kati kati, mchawi, pepo, jini cha kusambaratisha. Nataka nikukwambie mabaya yote yanayokuja mbele yetu hatushindi kwa akili, uweza na nguvu zetu, tunaye anayetupa kushinda, ndiyo maana nina uhakika wa kubaki na mke wangu mpaka siku ya unyakuo."
Hii mipasho anayoendelea kutoa inaonyesha udhaifu mkubwa sana wa kiume,hakuna anayeweza kujua hisia zake moyoni,ukweli anaujua yeye na mkewe,kama mke alikuwa analiwa kwa muda mrefu Masanja anajua,kama ni story za kuchafuana,anajua,sasa hakuna haja ya kutoa maelezo meeengi kwa wabongo,that is ur life bro!!!you don't owe anybody explanation,don't explain urself kwa wabongo,once we we believe something,u can't unbelieve us!!we endelea na maisha yako kimya kimya,kiatu kinapobana,anajua aliyekivaa,Video hiyo hapo
View attachment 2378508
"Yaani namuachaje huyu msichana, nimuache huyu dada halafu? Yaani hata ndoa ziishe leo zote halafu kesho tuanze upya namrukia huyu huyu! Nataka niwaambie kwa lugha rahisi, ninamshukuru Mungu kwasababu Mungu yupo kazini."
"Yote ambayo wanangu mnasikia, msiende na mikumbo watu wanachoongea, endelea kuamini katika ukweli ya kwamba tunachokwambia mke wangu mimi ni mke ambaye mnaishi naye hapa kanisani mnaelewa. Ni mke ambaye anajichanganya na ninyi, hatengenezi umbali kati yenu na sisi, na hili ni darasa nililifanya kwakwe."
"Anaongea na watu wote, anacheka na watu wote, hivyo ndivyo huyu mwanamke alivyo. Haiwezi kutokea tutengeneza mazingira ya kumfanya asiongee na watu."
"Natamani dunia ielewe leo kwa jinsi ninavyomuelewa huyu msichana, tuweke uchungaji na kanisa pembeni, nimkute uso kwa uso anapiga "gemu" na mtu, namkamata kwanza wife halafu nampima yule jamaa nammudu au simmudu? Nikiona hii ngoma siiwezi kuzipanga atanipasua, nitarusha maneno tu lakini wife naondoka naye."
"Sisi tumeoana hadi kitutenganishe kifo. Hakuna stori hapa kati kati, mchawi, pepo, jini cha kusambaratisha. Nataka nikukwambie mabaya yote yanayokuja mbele yetu hatushindi kwa akili, uweza na nguvu zetu, tunaye anayetupa kushinda, ndiyo maana nina uhakika wa kubaki na mke wangu mpaka siku ya unyakuo."
Siyo tuu kagongwa, kazalishwa pia. Pale kuna chata ya katibu mahususiIla noma sana yaani nchi nzima inajua mkeo kagongwa na kijana mdogo uliyemzidi kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni mashindano!Hadi hapa ushindi upo kwa Masanja, wengine wanasema angekaa kimya, nani aliwaambia kila wakati unapaswa kukaa kimya?
Mke wa Mtu sumu unazikwa kimya kimyaMsiba wanazika lini? Wapi?
hebu tutolee ujinga hapa ... we unaona kugongewa ni ishu ndogo.. we ukigundua tu mumeo anakimchepuko tena cha kupotezea muda tu UNAPAGAWA na nyumba haikaliki.. hicho unachojua wewe ni kipi kikubwa ?Nakwambia hakuna Uzinzi uliofanyika.
Hamna Mchepuko wala kutongozwa.
Sio kuwa Mke NI mwaminifu hapana.
Simjui Mimi.
Kipo kikubwa zaidi ya uzinzi WA MKE na msamaha WA MUME .
Hamna mtu atafuatilia zaidi as YEYE KAMA MUME ANASEMA KASAMEHE,
Kuna spacegoat hapa.
Kuanzia masanja kuwa US kipindi cha issue mpk kurudi. Kwamba ndo amerudi.
Weeeeeeh Bana!!
Hem mi nilale
yaaani umeongea utadhani unakaa kiunoni mwa mcharuko wa masanja kama chachandu vileee!!Nakwambia hakuna Uzinzi uliofanyika.
Hamna Mchepuko wala kutongozwa.
Sio kuwa Mke NI mwaminifu hapana.
Simjui Mimi.
Kipo kikubwa zaidi ya uzinzi WA MKE na msamaha WA MUME .
Hamna mtu atafuatilia zaidi as YEYE KAMA MUME ANASEMA KASAMEHE,
Kuna spacegoat hapa.
Kuanzia masanja kuwa US kipindi cha issue mpk kurudi. Kwamba ndo amerudi.
Weeeeeeh Bana!!
Hem mi nilale
Pole Kwa mkeo kuwa anagongwa.hebu tutolee ujinga hapa ... we unaona kugongewa ni ishu ndogo.. we ukigundua tu mumeo anakimchepuko tena cha kupotezea muda tu UNAPAGAWA na nyumba haikaliki.. hicho unachojua wewe ni kipi kikubwa ?
ngoja na wewe umjue anaemkatikia bwanako ndo utajua hujui... hapa ISHU ni msanii Masanja kugongewa mcharuko wake.
Poooole maskin.yaaani umeongea utadhani unakaa kiunoni mwa mcharuko wa masanja kama chachandu vileee!!
Yeah inaonekana kama ni game la kumnyonga Katibu.Lakin kumbuka kuna mtu amejiua walitakiwa wakae kimya na kutoa pole kwa msiba angebalance sasa wanafurahi utafikiri kawaida tu wakati mtu kajiua kwaajili ya mkeo
haya ulipaswa umwambie huyoo mchungaji feki alietafuniwa afu ww nae kimbilimbili eti unajua hajatafunwa yaani utadhani unaning'inia kwenye kiuno chake.Poooole maskin.
Sasa hasira za umalaya wako na MKEO ndo unataka umalizie Kwa kila MTU!!
Wanamkaza ndio!!..
Jishkilie bro.
Sio unavamia kila mtu.
We mkaze vizur asiwe anashoboka shoboka na ngozi za watu.
Level up Bro!!
NNACHOKIONGEA HATA HUKIELEWI!!
Katibu amejiua bure kumbe Masanja hana noma na MTU.