Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

Hakuna mwanaume yoyote mwenye utimamu wa akili anaweza kumpa taraka mkewe kwa kesi kama hii......labda awe ni mvulana pekee........
 
Hadi hapa ushindi upo kwa Masanja, wengine wanasema angekaa kimya, nani aliwaambia kila wakati unapaswa kukaa kimya?
 
Hii mipasho anayoendelea kutoa inaonyesha udhaifu mkubwa sana wa kiume,hakuna anayeweza kujua hisia zake moyoni,ukweli anaujua yeye na mkewe,kama mke alikuwa analiwa kwa muda mrefu Masanja anajua,kama ni story za kuchafuana,anajua,sasa hakuna haja ya kutoa maelezo meeengi kwa wabongo,that is ur life bro!!!you don't owe anybody explanation,don't explain urself kwa wabongo,once we we believe something,u can't unbelieve us!!we endelea na maisha yako kimya kimya,kiatu kinapobana,anajua aliyekivaa,
Kuendelea kutoa maelezo inaonyesha jinsi ambavyo unaogopa kuachwa na mkeo,unahofia kumuacha mkeo ushahidi unapoonyesha kweli aliliwa,na jamii ina kupa presha umuache.
 
Ukiangalia anavyoongea...body language inakinzana na matamshi yake....he is burning inside.......enewei sio shida zetu...ni zao[emoji3]
 
Msimlaumu masanja uenda utamu wa Monica ni wa sayari nyingine.
Yule aliyekataliwa kajiuwa huyu mwenye mke anasema HAMUACHI.
 
I love the way masanja has handles this scenario ,Mke wa Mtu sumu na shetani yupo kazini
 
hebu tutolee ujinga hapa ... we unaona kugongewa ni ishu ndogo.. we ukigundua tu mumeo anakimchepuko tena cha kupotezea muda tu UNAPAGAWA na nyumba haikaliki.. hicho unachojua wewe ni kipi kikubwa ?
ngoja na wewe umjue anaemkatikia bwanako ndo utajua hujui... hapa ISHU ni msanii Masanja kugongewa mcharuko wake.
 
yaaani umeongea utadhani unakaa kiunoni mwa mcharuko wa masanja kama chachandu vileee!!
 
Pole Kwa mkeo kuwa anagongwa.
Hizi hasira hebu kafanyie kazi your sexual insecurities.
 
yaaani umeongea utadhani unakaa kiunoni mwa mcharuko wa masanja kama chachandu vileee!!
Poooole maskin.

Sasa hasira za umalaya wako na MKEO ndo unataka umalizie Kwa kila MTU!!

Wanamkaza ndio!!..
Jishkilie bro.
Sio unavamia kila mtu.
We mkaze vizur asiwe anashoboka shoboka na ngozi za watu.

Level up Bro!!
NNACHOKIONGEA HATA HUKIELEWI!!
 
Hakuna kitu kinaua stimu kama wakati unataka kutumbukiza kwa ndani linakuja wazo daaa hili tundu Katibu alilichezea ndo hapo ataanza kwenda kinyume na maneno yake ya kujikosha
 
Lakin kumbuka kuna mtu amejiua walitakiwa wakae kimya na kutoa pole kwa msiba angebalance sasa wanafurahi utafikiri kawaida tu wakati mtu kajiua kwaajili ya mkeo
Yeah inaonekana kama ni game la kumnyonga Katibu.
Mwanaume husamee akichapiwa pale tu
1.Ana matatizo kwenye sex reproductive system including matatizo ya nguvu za kiume
2.Mke anajua siri nzito za mumewe ambazo anajua kuachana kutayumbisha maisha yake haswa kiuchumi
3.Kisasi iwapo mara kadhaa mke amemfuma mumewe aki cheat
4.Uoga wa kugawana mali na kuburuzana mahakamani
5.Uzoba au high maturity stage ya mwanaume kwenye kuhandle stress
 
haya ulipaswa umwambie huyoo mchungaji feki alietafuniwa afu ww nae kimbilimbili eti unajua hajatafunwa yaani utadhani unaning'inia kwenye kiuno chake.
unadhani huyo katibu kajiua kwa makusudi?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚imebidi nikucheke tu kumbe micharuko dizain ya mcharuko wa Masanja mpo wengi hivi!!๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†nilidhani ni huo mcharuko wa Masanja peke yake bora mnajitokeza sasa tunawajua wakaa viunoni yaani CHAWA micharuko๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜ค๐Ÿ˜คpoleee chawa wa Mcharuko๐Ÿ‘Œ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜œ๐Ÿ’ฆ๐Ÿ’ฆ๐Ÿ’ฆ
 
What I will advise you people here ,is to mind ur own business let masanja leave his life ,no body here is feeding masanja familiy so stay away from people life .tumerewanaaaaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ