Masanja Mkandamizaji aililia Benz iliyochomwa moto na Goodluck Gozbert

Ni k

Ni kweli ndio maana YESU mwenyewe mwanzo akimteuwa YUDA hakujua kama atamuuza....baadae YESU ndio akajua...
Madam hii statement uliotoa inahitaji justification ya kimaandiko, kwamba awali yesu hakujua kwamba Yuda ndie ataemsaliti! Yesu ni Mungu...japo aliuvaa mwili wa kibinadamu lkn haikuondoa ule uungu wake, sasa ni vp hakumbaini Yuda tangu awali?
 
😿😿😿 Afya ya akili
 
Anasema aliacha kulitumia, kuna siku mtu akaliazima kwenda harusini akampatia. Usiku akapewa tena maono kuwa siyo tu asilitumie yeye, bali mtu yeyote asilitumie...
 
Anasema aliacha kulitumia, kuna siku mtu akaliazima kwenda harusini akampatia. Usiku akapewa tena maono kuwa siyo tu asilitumie yeye, bali mtu yeyote asilitumie...
Mtu yeyote siyo pamoja na aliyempa hilo gari,yeye angemrudishia mwenyewe ili kama ubaya apambane nao mwenyewe ingekuwa vibaya kama angempa mtu mwingine.
Halafu Mswahili siyo mtu wa kuaminika sana yeye mwenyewe anaweza kuwa mlozi pia.
Waafrika wengi mafanikio yao yanapitia makandokando mengi japo baadhi yao hujificha kwenye mgongo wa dini.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…