Masanja Mkandamizaji amzidi Utajiri Diamond Platnumz

Jipange sawa sawa as kuna mmoja pale Mabibo huishia kuhubiri viti tu. Mwingine pale Morogoro maeneo ya Nane nane ana muumini mmoja wa kudumu.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Mkewe nn?
 
Tehe
Injili inalipa sana.. na naona imelipa masanja fasta zaidi.

Yetu macho

Imemlipa hasa si unacheki mambo yake..... mmh
 

Attachments

  • 1411914860748.jpg
    91.9 KB · Views: 700
  • 1411914873405.jpg
    74.3 KB · Views: 656
Heaven on Earth kalianzaga katetesi kuwa jamaa anahusika na madawa..

hizo mipunga, injil..zaweza kuwa njia za kujificha tu.
 
Last edited by a moderator:

nakubaliana na wewe. kwa mbangaizaji wa bongo (kama huyo aliyekuwa akipata laki 1 kwa mwezi) ni bora aoshe vyombo ulaya na sio bongo. ila kama bongo upo vizuri na deal za kuingiza pesa na kipato vinaeleweka, ni bora kuwa bongo TZ kuliko ulaya.
 

Mimi sio wakishua sema nilishapata exposure na kuona watu jinsi wanavyoishi sasa kwa comment ya jamaa iliashiaria kama yupo kwenye nchi yenye asali na maziwa kitu ambacho kiuhalisia sicho na ukipiga hesabu hela anazosifia kwa miaka mi5 ni reasonable ambazo zinafikika ikitegemea mtu binafsi umeweka juhudi gani..kuhusu umayai hilo ni kwa mtazamo wako kwaio siwezi kukupinga wala kukataa kwaio naliacha kama ulivyosema..
 

Kwa hesabu za haraka haraka kwa hayo maelezo yako ni Kwamba umetengeneza Tsh 70M(248,000 kroners: 1kroner ni sawa Tsh 285) kwa miaka 5 ambayo ni sawa Tsh 14M kwa mwaka, sawa na Tsh 1M kwa mwezi.

Kwahiyo kipato chako kwa mwezi ukitoa matumizi ni 1M

Sasa hiyo laki 5 kwa siku mbona haina uhusiano na hii 1M kwa mwezi?!! Nilitegemea kama umesema unapata laki 5 kwa siku kwa mwezi uwe unapata Tsh 15M,kuna Tofauti ya Tsh 14M hapo,au unataka kutuambia kuwa Tsh 14M inaenda kwenye kodi?

Hapa kuna kujipaisha,uhalisia ni mdogo mnoo,labda utupe maelezo vizuri
 

Umeongea points kabisa. Kazi ya mwenzio waweza iona haifai wkt ndo inampa yeye mkate wa kila siku, so dharau c nzuri.
Ila dada hak ka jina kako mmh!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 

Mmmh, watu mna upembuzi yakinifuuu! Dah, jamaa aje atujibu basi

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Jipange sawa sawa as kuna mmoja pale Mabibo huishia kuhubiri viti tu. Mwingine pale Morogoro maeneo ya Nane nane ana muumini mmoja wa kudumu.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
kwangu kila ukija ibadani unapata 5000
 

huyo mtu kajipaisha sana... anatakiwa ajue wapo waliopitia hayo maisha wakiwa wanafanya kazi na allowances za scholarship wanapata. Kodi na bills zipo juu sana, savings ni ndogo mno. wana nafuu wale wanaosoma maana wapo exempted na baadhi ya bills na kodi pia. siku ukimaliza shule na kuingia mtaani uishi kama wazungu, mbona utaomba kurudi bongo.

wapo wanaokuja bongo na vizawadi ambavyo hata hapa vinapatikana (bongo siku hizi kila kitu kipo), na wanakuta wenzao waliograduate nao washafikia ranks za usenior kama sio ukurugenzi na business zao binafsiwanazo, wakati aliyejilipua huko majuu unakuta hata kiwanja hana.
 

Thank youu

Mimi napenda watu wakweli,Hawa jamaa huwa wana exaggerate vitu na kuficha ukweli. Wapo ambao mambo yao ni njema huko majuu lakini asilimia nyingi hali mbaya lkn hawataki kukubali.

Mimi nilibahatika kusafiri kikazi kipindi fulani kwenda nchi za watu,jamaa zangu ambao nilisoma nao wanaoishi hiyo nchi wali nikikwepa,hamna hata mmoja aliyetaka nipajue kwake.
 
Jamani
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...

Masanja anajituma sio issue ya injili tu ndo imemfikisha hapo mashamba aliyasimamia na kupata mazao vzr sn na ukizingatia alikuwa na uzoefu.

Suala la injili, Mungu ana uwezo wa kumtumia yyt akitaka bt kinachowasumbua watu ile kuwa ni comedian wanaona km haiwezekani lkn njia za Mungu hazichunguziki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…