Kwa hesabu za haraka haraka kwa hayo maelezo yako ni Kwamba umetengeneza Tsh 70M(248,000 kroners: 1kroner ni sawa Tsh 285) kwa miaka 5 ambayo ni sawa Tsh 14M kwa mwaka, sawa na Tsh 1M kwa mwezi.
Kwahiyo kipato chako kwa mwezi ukitoa matumizi ni 1M
Sasa hiyo laki 5 kwa siku mbona haina uhusiano na hii 1M kwa mwezi?!! Nilitegemea kama umesema unapata laki 5 kwa siku kwa mwezi uwe unapata Tsh 15M,kuna Tofauti ya Tsh 14M hapo,au unataka kutuambia kuwa Tsh 14M inaenda kwenye kodi?
Hapa kuna kujipaisha,uhalisia ni mdogo mnoo,labda utupe maelezo vizuri