Masanja Mkandamizaji aonesha mjengo wa Kanisa lake la Feel Free Church kwa mara ya kwanza


Bila kusahau Roman catholic na KKKT wote ni matapeli
 
Hali imekuwa ngumu, uchumi mbaya matatizo yamezidi kuongezeka magonjwa kila kukicha.......watu wameamua kutumia changamoto na kuzigeuza kuwa fursa, hivi ndivyo ilivyo.
 
Unasali hapo?

Unajua zile kesi zake bila Dola alikuwa hatoboi ? Mwingira huyu anayegombania mashamba na wajane ?

Alikuwa na benk inatoza riba

Anyway tusiongee mengi kama kweli alipewa unabii na Mungu itadhihirika

Unabii sio mzaha ,
nabii gani anakula kuku shavu dodo? Wajihi wa manabii unajulikana tangu mwanzo. Manabii ilikuwa hawaachi kutifuana na dola inapofanya hovyo inaambiwa ukweli bila chenga. Hawa ni manabii wa mchongo na ni sehemu ya dola ndio maana hawaikemei dola inapofanya sivyo ndivyo. Wakumbukeni manabii wa ukweli kama samweli, eliya, yohana mbatizaji waliwapa makavu watawala walipoona wanafanya mambo sivyo. Hawa manabii wa mchongo wao ni kula bata tu na kuwa na utajiri mkubwa kuliko waumini wao, shame on them
 
Masanja huwa anaenda kutoa shukrani pale mito ya baraka jangwani kwa baba yake wa kiroho alipokuwa anasali pale EAGT?
 
Mtu akishasoma mistari miwili mitatu ya mtume Paulo ,anatafuta mabanzi na vitambaa vyekundu ,vyeupe, spika ya JBL ,mic mbili ,na suti ya mtumba ,anajiita mtume na nabii anafungua kanisa

Serikali ipo inakula nao
Nimecheka sana we jamaa cjui ulikuwa unawaza nini
 
Jina la wimbo unaoimbwa kwenye hii video please
 
Kwetu Islam tukishajenga mjengo wa ibada tunakabodhi maimam ili watoe huduma. Yaani no return on investment. Ila upande mwingine sasaa.
Labda maeneo yenu. Huku kwetu misikiti imepewa majina ya kikabila kabisa, kuna msikiti wa Wamanyema, msikiti wa Wamakonde nk. Hapo uongozi ni kurithishana tu.

Wote hao wachukue mfano wa Roman Catholic. Unatoa hela au kiwanja (ardhi), unanabidhi na kuondoka. Maamuzi ya nini kijengwe hapo au kifanyiwe mali uliyotoa yanakuwa sio yako tena, ni ya Kanisa. Haiwezekani utoe jengo au ardhi halafu uwapangie eti liwe kanisa; no, jengo la kanisa lina vigezo vyake. Toa, ondoka watafanya shule au ukumbi
 
Kwetu Islam tukishajenga mjengo wa ibada tunakabodhi maimam ili watoe huduma. Yaani no return on investment. Ila upande mwingine sasaa.
Je Imam mwenyewe akijenga msikiti anauacha tu au anamkabidhi nani? Au wenyewe hawajengi wanasubiri kukabidhiwa!!!?
 
😲😲😲
 
Tz hatuna mossad bali uvccm wanaotumia taasisi nyeti za serikali kufanyia siasa.
 
Je Imam mwenyewe akijenga msikiti anauacha tu au anamkabidhi nani? Au wenyewe hawajengi wanasubiri kukabidhiwa!!!?
Maimaam mara nyingi huwa ni watu wa imaan kwelikweli, huwa hawajishughulishi na mambo ya dunia, most of them wanaishi maisha ya kawaida sana.
So kuweza kutengeneza msikiti wake si jambo rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…