SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Oct 27, 2022 #161 Inside10 said: Sisi Kama ndugu tunataka damu yet u mtoto Click to expand... Yaani msikubali kabisa damu yenu ipotee bure,komaeni naye
Inside10 said: Sisi Kama ndugu tunataka damu yet u mtoto Click to expand... Yaani msikubali kabisa damu yenu ipotee bure,komaeni naye
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Oct 29, 2022 #162 SAGAI GALGANO said: Yaani msikubali kabisa damu yenu ipotee bure,komaeni naye Click to expand... Mkuu hapa tumemaliza kikao utapata update hatucheki na kima
SAGAI GALGANO said: Yaani msikubali kabisa damu yenu ipotee bure,komaeni naye Click to expand... Mkuu hapa tumemaliza kikao utapata update hatucheki na kima
Mpwayungu Village JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 14,540 Reaction score 30,875 Nov 6, 2022 #163 CHIEF PRIEST said: Yalikuwa makubaliano maana jamaa alidongokewa kitovu,sasa ishu lianza kunuka baada ya mwendazake kudai watoto wakati alilipwa kuja kurutubisha shamba tu mazao amwachie mwenye shamba. Click to expand... mmh manina hii inaumaa mazee !!
CHIEF PRIEST said: Yalikuwa makubaliano maana jamaa alidongokewa kitovu,sasa ishu lianza kunuka baada ya mwendazake kudai watoto wakati alilipwa kuja kurutubisha shamba tu mazao amwachie mwenye shamba. Click to expand... mmh manina hii inaumaa mazee !!
Ghiti Milimo JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 4,748 Reaction score 7,061 Nov 6, 2022 #164 pureView Zeiss said: Hiyo ndiyo hazina ya CCM. Mwakani atapewa ukuu wa wilaya kama kawaida Click to expand... Huyu huyu alikuwa anamsifia JPM kwa kuto safiri safiri nje!
pureView Zeiss said: Hiyo ndiyo hazina ya CCM. Mwakani atapewa ukuu wa wilaya kama kawaida Click to expand... Huyu huyu alikuwa anamsifia JPM kwa kuto safiri safiri nje!