Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

Najaribu kuwaza tu kwa sauti...je huyu Masanja na hao wanaompa nafasi kama hiyo mbele ya wageni, yupi kichaa zaidi! Watanzania tuna tatizo na hilo tatizo ni kubwa na kama hatukuchukua hatua tutajikuta pabaya nawaambia!

Najaribu kutafuta nchi ya kuifananisha na Tanzania siioni...tuko kundi la peke yetu.
Ukuta ukijengwa kuzunguka nchi yetu nina hakika watalii wangefurika zaidi na zaidi kuja tu kujiridhisha kwamba sisi nasi ni binadamu kama wao.
 
Huyu sio muhubiri...mnisamehe bure....ni mganga njaa
 
Anko @mshanajr kama hautajali sema neno kwa muktadha wa lile andiko lako kuhusu picha za pamoja. Nakumbuka mada ile niliisoma kwa utulivu nikaielewa na kulinganisha na matukio ninayojua ikaniacha mdomo wazi. Ebu jipe muda toa comment yenye kujibu hisia zangu kwa msaada wa hii picha muambata aliyoleta mkuuu Inside10
Utanitag
 
100%[emoji3581]
Nakazia.
 
Back
Top Bottom