Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

Ila kuna watu hawana shukrani

Magufuli alikuwa hasafiri wakamsema vibaya

Rais Samia anasafiri.... nayo inakuwa nongwa aseh.

Mimi ninachoamini Rais Samia hawezi kusafiri kwenda nje ya nchi bila sababu ya msingi. Marais wote duniani wanasafiri kikazi.
 
Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga...
Halafu anajiita mchungaji.
 
Watanzania mtakuja kujiua bure ooh fanyen mambo yenu msiwategemee hawa wapuuz mbona mm kila siku nawaambia
Pic%20Layer_2021111311215721.jpg
 
Dah kweli awamu ya kufeli ni ya kufeli kwenye kila jambo. Tuliokuwa luningani tulijisikia vibaya sana sasa sijui waliokuwa pale live uwanjani walikuwa na hali gani.
 
Sijui nani alianzishaga huo mchongo
Kuwapeleka hao makatuni

Ova
 
Masanja njaa inamsumbua sana huyu dogo analazimisha umaarufu ambao kimsingi hawezi kuupata ktk kipindi kifupi.
Aliyempa fursa bila kuhakiki nini atawasilisha ndiye wa kulaumiwa,kusema kweli kaabisha sana kidiplomasia tumeonekana watu wa ajabu sana. Huwezi kumwalika mgeni kwako kisha ukaanza kumnanga, mfano kusema sisi Tanzania nzige haziwezi kuja tunazisikia nchi nyingine wakati Rais Uhuru Kenyatta yuko pale akiwa mgeni wa Rais Samia ni deliberate insult na diplomatic breach.
Hii ni aibu na fedheha katika nyanja ya diplomasia na inabidi hatua stahiki zichukuliwe ili aibu kama hii isijirudie tena.
 
Wanaofanya kazi ya kuwachagua hao waganga njaa ndiyo wenye makosa.

Mtu kama Masanja sidhani hata kama aliushirikisha ubongo wake kabla ya kuongea hayo maneno mbele ya mh Uhuru.
 
Kifupi Masanja na yule mwenzie hawakuwa wamejiandaa kufanya VIP comedy walikuwa wakihutubia na kuvurumisha matusi badala ya kuchekesha hopeless kabisa

Masanja hajui VIP comedy inatakiwa isiguse individuals on any way offensive. Kaniudhi sana aliposema Vifaa vyetu vya Kavita vya kisasa vinapata kutu tu havitumiki kivita akamtaka Mkuu wa Majeshi Mabeyo aongee na Raisi Kagame ili waliamshe waanzishe vita ili vitumike Ile statement ilikuwa offensive kwa Kagame na Mabeyo kwa nchi na ya kichochezi why amtaje Kagame na sio Rais mwingine yeyote aliyeko pale? Why Kagame? Siku ingine waigize kabla vyumbani huko chini ya usimamizi kabla kuonyeshwa public

Huyo mwigiza sauti ya Nyerere naye hopeless ohhhh mke wangu Maria Nyerere yule pale, Mwanangu Hussain Mwinyi, kijana wangu Majaliwa ujinga mtupu hakuwa na theme nyingine isiyokuwa offensive?

Kiujumla nobody should be allowed just ku perform chochote Mbele ya VIP mpaka kionwe kwanza

Hana ajili Masanja nadhani atakuwa alivuta bangi
Pls bangi itoe kwenye hio hoja yako kama unataka tuelewane, kosa la bangi hapo ni nin?
 
Masanja njaa inamsumbua sana huyu dogo analazimisha umaarufu ambao kimsingi hawezi kuupata ktk kipindi kifupi.
Masanja hana njaa kama unavyofikiri, yawezekana mkajichanga CASH ukoo wenu wote msifikie nusu ya ela za Masanja. Tatizo chuki zinawafanya mropoke hovyo bila kushirikisha ubongo.
 
Inasikitisha sana na kuiangalia mpk mwisho nimeshindwa hii video inahuzunisha c bora hata wangempa steve nyerere huwa anajitahid ,baraka magufuri ila huyu ni aibu ya mwaka
 
Masanja hana njaa kama unavyofikiri, yawezekana mkajichanga CASH ukoo wenu wote msifikie nusu ya ela za Masanja. Tatizo chuki zinawafanya mropoke hovyo bila kushirikisha ubongo.
😄😄😄 Hakika tumbo ndio hua linatoa hewa chafu, makalio hua yanasingiziwa tu yenyewe hua yanatumika Kama spika tu.
 
Back
Top Bottom