Masanja Mkandamizaji: Watu ooh! Mama anasafiri sana. Ulitaka asafiri babaako?

View attachment 2040199

Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga.

Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi yao wanaohoji kwanini Rais Samia anafanya sana safari za nje?

Hii dharau kwa umma wa Watanzania haikubaliki na haivumiliki.
Huyu hana akili timamu, ni mshenzi tu asiye na adabu wala hekima
 
Taifa limepoteza watu wenye hekima na busara ndio maana linamsimamisha mtu aliyekosa maadili mbele za wageni. Kama Taifa tukiri tu kuwa kweli tulivurugwa. Kazi iendelee
 
Asante KATIBU
IMG_20221003_105409.jpg
IMG_20221003_105409.jpg
 
Huyu hana akili timamu, ni mshenzi tu asiye na adabu wala hekima
Kubwa jinga fulani, litafuta sifa ndo maana katibu wetu kamwagia ndani ....halafu achunguzwe huyu katengeneza sinema ya mazingira ya kifo cha jemedari katibu wetu yaani ndio yeye kamwua, utalipa roho ya katibu wetu mshenzi weweee
 
View attachment 2040199

Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga.

Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi yao wanaohoji kwanini Rais Samia anafanya sana safari za nje?

Hii dharau kwa umma wa Watanzania haikubaliki na haivumiliki.
Kwa ubwege huu haki kabisa kumegewa mke wake na bado atamegwa sana
 
View attachment 2040199

Kauli hii ya kifedhuli ameitoa Masanja Mkandamizaji alipopewa nafasi ya kuburudisha leo hii mbele ya mamilioni ya Watanzania na wana-Afirika Mashariki kwa ujumla, waliokuwa wanafuatilia sherehe za Uhuru wa Tanganyika kupitia runinga.

Kauli hii inawabeza Watanzania wenye moyo wa kuipenda nchi yao wanaohoji kwanini Rais Samia anafanya sana safari za nje?

Hii dharau kwa umma wa Watanzania haikubaliki na haivumiliki.

Heko kwa aliyemchapia huyu mjingamjinga.
 
Back
Top Bottom