Masanja wale watu aliwapiga wakaanguka au ni maombi?

Nakumbuka mwaka 2014 nilihudhuria msiba masanja Ndio alikuwa Mchungaji palee nilishangaa.

Mungu amuongozee tu asiwe wale wachungaji wasaka tonge
Tayari ameshakuwa.......Mungu aliumba hii dunia kwa neno tu!yesu aliombea watu kwa Neno tu!...cha kushangaza siku hizi unaombewa mara anointing water ,mara mafuta matakatifu!....Ni tofauti gani na anaekwenda kwa mganga kuoga maji au kuchanjwa chale na kupewa madawa...!?Ni mtu mmoja tu alitumia fimbo naye ni Musa kwa sababu ya miujiza dhidi ya Farao....lkn huu Uhuni huu huku wakiwaacha waumini wakiwa masikini wa kutupwa...Masanja njia uliochagua siyo sahihi acheni kupotosha Masikini na kuwanyanganya hata kile kidogo walichonacho!
 
Tapeli sana huyo Masanja.. matapeli wa kutumia dini wote hufanya hivyo.. Hiyo ni kuandaa watu wachache kisha wanapewa maelekezo jinsi ya kufanya kuanguka kisha wanalipwa chao.. Hiyo yote ni kuvutia biashara ya dini anayofanya.. Hakuna cha Mungu wala nn hapo.. Ni utapeli 100% kwa 100%
 
Bora umetusaidia mkuu
 
Nani kakwambia kuwa maombi yaliwahi kumwangusha mtu mahali popote pale??Leo ndo unagundua kuwa ni usanii huwa unafanyika???
 
Yule jamaa tapeli wa waazi kabisa yaani nimeshampa makavu sana instagram ila njaa yamfanya ajitoe ufahamu.
Tena ajiita Sharifu Majini na ndio maana twaambiwa twafuga majini kwa utapeli na njaa za wachumia tumbo.
Uislam upo mbali na mambo yake yenye sura ya Ushirikina, Uchawi chawi wangaa [emoji85].

Mwenyezimungu Amuongoze maana jamaa alipofikia duuuh aweza kuja jiita umtume majini maana huo ushekhe pia hanaaa[emoji23] [emoji23]
 
Well said bro
 
inabidi tujiulize maswali huyo masanja kaanza lini kuangusha watu?
Kitambo sana siku moja niko mbagala nadhani ni kama 2012 hivi kulikuwa na mkutano wa injili mahali na masanja alikuwepo muda wa maombi ndio kama hivyo kaombea watu, watu chali lakini naona ni sawa tu kama wachungaji wengine au kwa sababu masanja tunamjua sana ndio vilevile tu
 
Manda mimi Nina amini kuwa Pepo Wa njaa hatoki kwa Maombi Kama alivyo wa kihoro au. Wa ugonjwa piga meno lako usiku kucha ukiomba upate suti na viatu na kwa imani bila Kufanya Nazi na kupata pesa yakununua kitamba na mashono hutopewa kamww


nimetoka kapa kabisa


mangonifera indica ,

Mkuu
Hapa Poise , nikajidhania kuwa ni kilaza wa neno la Mwenyezi Mungu Kumbe nawe holaaaa!!

Mimi nimetoka zero kama ya fa fa fa fa fa fa fa!!
 
Haahaahaa....

Wajinga ndo waliwao..
 
Ha ha ha
Ikabidi uende chini
 
Hizi mbinu wanazotumia nikizijua tu nami nafungua kanisa langu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahah ungekufa mbwa ww, siku ingine jiangushe fasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…