Masauni Wizara ya Mambo ya Ndani haiwezi, soon atapambana kuwabadilisha wakuu wa vyombo vya ulinzi waliopo aweke anaoweza kuwadhibiti

Kama agundua kuwa kuna viongozi wengi waso waadilifu kwanini asiwaondoe au kuwadhibiti?

Magereza ni moja ya vyombo ambavyo kuna upigaji hivyo mwache achape kazi aishughulikie.
✓Magereza wanazidi Traffic police kwa upigaji
 
K
Kama agundua kuwa kuna viongozi wengi waso waadilifu kwanini asiwaondoe au kuwadhibiti?

Magereza ni moja ya vyombo ambavyo kuna upigaji hivyo mwache achape kazi aishughulikie.
Magereza asimtoe Cgp Selemani Mzee kaliweza jeshi la Magereza kweli kweli
 
Acha kuwatetea mapolisi wakati wanamzunguka akiwa naibu hawakujua atarudi et eeeh wizara hii imejaa watu wa dhuluma sasa kaja asiependa dhuluma mtulie vibwengo vyenu vitaondoka
 
Aiseee !!
 
Masauni Wizara ya Mambo ya Ndani ni mzaliwa wa wapi?​

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…