Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Masettler wa Kiyahudi huko West bank wameendelea na harrassment yao kwa Wakiristo waishio huko. Lengo ni kuwafrustrate Wakiristo hao ili waondoke katika ardhi hizo. Mashambulizi ya Masettler wa Kiyahudi hivi karibuni ni kushambulia kanisa kongwe la St George lililojengwa maeneo hayo toka karne ya tano. Ili kupata taarifa zaidi unaweza kutazama hapa:
View: https://youtube.com/shorts/-PctfgfhFb0?si=6xkekMb86q1NWR_5
View: https://youtube.com/shorts/-PctfgfhFb0?si=6xkekMb86q1NWR_5