Masettler wa Kiyahudi waendelea na njama zao za kuwafukuza Wakiristo katika nchi takatifu

Masettler wa Kiyahudi waendelea na njama zao za kuwafukuza Wakiristo katika nchi takatifu

Wagalatia weusi wanapita kama hawauoni uzi kumbe wanasoma kimya kimya...
Hawataki kuamini kama wayahudi wanawachukia wakristo licha ya kujipendekeza kote kule...

Huko kanisani wanatapeliwa kwa kuuziwa mchanga wa Israel kwamba mchanga kutoka nchi takatifu... mchanga uliobarikiwa...

Inasikitisha sana kuna huyu Echolima1 amepita kimya kimya...
Hao masetler ni jehanamu pamoja nawewe, Mana mnamkataa yesu
 
Unatetea Wayahudi wakati wanarndesha operesheni ya kufukza Wakiristo huko holy land, uko sawasawa kweli wewe?
Acha Ujinga wewe!! Israel haifanyi ujinga na Upumbavu huo. Dini zote Israel zina haki sawa na zinaheshimiwa.

Wafuga Midevu na Majini endeleeni tu kueneza uongo na kupotosha maana ndiyo kazi yenu iliyobakia. Wajinga tu kama nyie ndiyo wataamini UHARO wenu huu!!
 
Back
Top Bottom