Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwanza hapatoshi dialo kamwagwa, masha agoma kasaini matokeo..haonekani..
Habari nilizopata sasa hivi ni kuwa Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM jimbo la Ilemela Bw. Anthony Dialo amegoma kusaini fomu za kukubali matokeo baada ya kuona kuwa amebwagwa na mgombea wa Chadema. Nadhani alikuwa na mategemeo makubwa ya kushinda.
mwanza hapatoshi dialo kamwagwa, masha agoma kasaini matokeo..haonekani..
ndugu mnaamaanisha kuwa ameshidwa?