Mashabiki wa Arsenal tufarijiane hapa

Mashabiki wa Arsenal tufarijiane hapa

Last Seen

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
229
Reaction score
566
Habari wana jamvi,

Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji.

Alianza kwa mbwembwe za kufika fainali ya Europa hatimaye akala kipigo kitakatifu kutoka kwa timu iliyokuwa mbovu kwa kipindi hicho, nadhani wachezaji walijiamini sana kutokana na Chelsea haikuwa na wakati mzuri.

Baada ya hapo timu yetu imekuwa kimeo kupitiliza, tumepoteza asili ya mchezo wetu uliotupa heshima na mafanikio wa kupiga pasi nyingi na kumiliki mpira, hata tukifungwa unakuwa ume-enjoi mpira.

Baadhi ya makosa ya Unai Emery yaliogharimu Arsenal:

1. Kocha hakuwa na kikosi cha kwanza cha kudumu. Kwake hata mechi kubwa alikuwa akizitumia kama kufanya majaribio ya wachezaji wachanga.

2. Migogoro na wachezaji wake

3. Kuhamisha wachezaji namba walizozoea.

4. Kubadilisha mfumo wa uchezaji.
Emery ametugharimu sana hadi hatujui lini tutarudi kucheza UEFA. Enzi za Wenger timu ilikuwa mbovu lakini Top 4 lazima.

Sasa ni wakati sahihi wa Arsenal kutafuta kocha mzoefu ili nasi tuanze kupata furaha ya ubingwa!

Kocha gani unahisi ni sahihi kuifundisha Arsenal!?
 
Kwakweli arsenal bado hamjapata kocha hii haina siri. Huyo Aterta hana jipya alkuwa kocha kivuli wa Manchester City mbele ya Kocha PEP.
Huyu Aterta labda kama ni Arsenal Academy or Arsenal women club. Na sio Arsenal ya EPL..
Actually Arsenal leaders have failed much to seek for a good Coach!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile ndege ya Malaysia why haikupotea na Stan kroenke? Hizi shida huenda tungeziepuka
 
Karibu liverpool
IMG-20191222-WA0002.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli arsenal bado hamjapata kocha hii haina siri. Huyo Aterta hana jipya alkuwa kocha kivuli wa Manchester City mbele ya Kocha PEP.
Huyu Aterta labda kama ni Arsenal Academy or Arsenal women club. Na sio Arsenal ya EPL..
Actually Arsenal leaders have failed much to seek for a good Coach!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wabongo tunachekesha sana mtu hujamuona anacoach hata mechi moja ila confident unaibuka na comment kama hii
 
Back
Top Bottom