Mashabiki wa Barcelona ndio mashabiki wenye furaha zaidi kwenye fainali hizi za kombe la dunia

Mashabiki wa Barcelona ndio mashabiki wenye furaha zaidi kwenye fainali hizi za kombe la dunia

hydroxo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2015
Posts
6,772
Reaction score
15,651
Spain ambayo ambayo imesheni wchezaji wa Barca ishatinga fainali.

Furaha iliyoje.

Argentina yenye Greatest Of All Time(GOAT) La Pulga ambaye ni pure cule yupo fainali.

Furaha iliyoje.

Ureno yenye goti wa kuvundika out tushasahau kama walishiriki hizi fainali za kombe la dunia.

Furaha iliyoje.

Ufaransa ambayo mashabiki wa Madrid na Ureno walijibanza wameliwa kichwa jana.

Furaha iliyoje.

We cules, are the happiest football fans in the world right now.

loose Nut

Xi Jinping
 
Kabisaa mkuu....yaan fainal naenda kuiangalia bila pressure...zote team zangu ila Argentina kutokana na huyu Andunje nimezidisha kidogo
 
Back
Top Bottom