Mashabiki wa Haji Manara njooni hapa!

Hajajibiwa tuhuma au hoja zake kuhusu MO , Barbara au Simba SC yenyewe.
Hapo ni kuchafuana tu bila kujadili hoja zilizopo mezani.
Taja hoja sio maelezo yawezekana unashabikia tu kama poyoyo hujui kutofautisha HOJA na MALALAMIKO na MAELEZO
 
Sasa mambo ya mpira ndo mje useme kwanini hakai na mke?Why kaacha mke?Kweli?
Mbona watu mna uswahili hivi??..
 
Kusema kweli huyu jamaa anajaribu kutafuta huruma kwa gharama yoyote hata kama ni kuua brand ya Simba.

Hapo utaona dua lake ni kutaka Mo aondoke Simba.Je yeye ana uwezo wa kulipa mishahara na bonus?
Ana uwezo wa kununua mchezaji kama Mo anavyofanya?
Anataka Simba ianguke ili akidhi kiu yake ya kusema yeye alikuwa muhimu?

Mashabiki wengi wa Simba hatukutaki kabisa wala hatutaki kusikia ujinga uwako
 
Hata kama alikua deiwaka bado Simba hamna hoja kwenye kufukua makaburi mtu wa namna hio mtamuachiaje timu na kusapoti hustle zake ndani ya club?
Keep record straight "HAKUAJIR1WA"

Si ni moja ya hoja zake au unajisahaulisha HAKUWA NA MKATABA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anatumia ulemavu wake kutafuta huruma za wanajamii tu hana lolote
 
Hata kama alikua deiwaka bado Simba hamna hoja kwenye kufukua makaburi mtu wa namna hio mtamuachiaje timu na kusapoti hustle zake ndani ya club?
Huona unamuokota yatima unamlisha halafu anashiba anaanza kukutusi?

Unamkumbusha alipotoka wala sio makaburi ya zamani hadi ya safari za mikoani za juzi tu alikuwa anavhangisha fedha na kusepa nazo?
 
Nadhani upoyoyo ni kushindwa kutambua malalamiko yanaweza kuwa hoja na hoja zinaweza kuwa katika mfumo wa malalamiko.
We pimbi taja HOJA sio unazungukazunguka tu kama PIA si uitaje moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaonekana mlivyo WEUPE!!
 
Kweli alikuwa akijigharamia safari za Simba unampenda kucheza?Kweli alikuwa akipewa laki 7?Tuanzie Happ!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anaenda kukusanya wanasimba na kukusanya michango
 
Hata kama alikua deiwaka bado Simba hamna hoja kwenye kufukua makaburi mtu wa namna hio mtamuachiaje timu na kusapoti hustle zake ndani ya club?
USISEME ''hata kama alikua deiwaka''

Ulisema AMEAJIRIWA!!

Ndio maana tunasema HAMNA HOJA
 
Manara sio yatima na simba haikumuajiri bali walimuomba awe msemaji wao hivyo kumfananisha na yatima ni kuwadharau mno yatima wote

Kumbalini tu ukweli mlichemsha na hata msemaji wenu wa sasa ana skendo kama za manara mjue. Japo mtamtetea kwa nguvu zote na kutaka wanaomsema walete ushahidi.

Wakati anachangisha hizo pesa mngempa onyo na kumuanzishia nyuzi humu kama za kumbukumbu ila sasa mkawa mnamuanzishia nyuzi za kumsifia na kumpa nguvu ya kudhihaki na kudhalilisha waandishi wa habari
Huona unamuokota yatima unamlisha halafu anashiba anaanza kukutusi?

Unamkumbusha alipotoka wala sio makaburi ya zamani hadi ya safari za mikoani za juzi tu alikuwa anavhangisha fedha na kusepa nazo?
 
Mkuu kama umepanic flani hivi,niliposema ameajiriwa ukapinga nikaendana na wewe kuwa alikua deiwaka napo unapinga sasa mbona huyu kajanja au kajamba nani asie lolote pale simba anawapa presha na mapovu?
USISEME ''hata kama alikua deiwaka''

Ulisema AMEAJIRIWA!!

Ndio maana tunasema HAMNA HOJA
 
We pimbi taja HOJA sio unazungukazunguka tu kama PIA si uitaje moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaonekana mlivyo WEUPE!!
Unataka nitaje hoja gani tofauti na alizo toa Manara mwenyewe?
Jibuni yale aliyosema na siyo matusi na kukumbusha tuhuma zake za zamani.
Hizi tuhuma za zamani zinahusiana nini na malipo yake, mkataba wake na Simba na zaidi kuhusu nauli za kwenda kwenye press, kuhusu mkataba wake na Azam, kuhusu kudukuliwa n.k?
 
We pimbi taja HOJA sio unazungukazunguka tu kama PIA si uitaje moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaonekana mlivyo WEUPE!!
BTW, mimi siyo muumini wa kuchangia hoja kwa matusi.

Matusi yana akisi uwezo wa kufikiria wa anaye toa matusi.
Ulichofanya hapo kwenye post yako kuu tunaita 'Ad hominem' yaani unamshambulia mleta hoja badala ya kushambulia hoja zake.

Jadili hoja matusi hayabadili ukweli wa aliyo yasema Manara. Au niyasemayo mimi au usemayo wewe.
 
Manara kafanikiwa kushawishi baadhi ya wajinga kua mafanikio ya simba yametokana na juhudi zake

Eti ooh simba ikifungwa mtu wa kwanza kutukanwa ni mimi sio Mo. Anasahau kua yeye anatukanwa kwasababu amekua akiwatukana wengine, kipindi kile kapigwa spana na jery muro akakimbilia kutumia udini kutafuta huruma ionekane kaonewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…