Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja hoja sio maelezo yawezekana unashabikia tu kama poyoyo hujui kutofautisha HOJA na MALALAMIKO na MAELEZOHajajibiwa tuhuma au hoja zake kuhusu MO , Barbara au Simba SC yenyewe.
Hapo ni kuchafuana tu bila kujadili hoja zilizopo mezani.
Taja HOJA za JMSasa mambo ya mpira ndo mje useme kwanini hakai na mke?Why kaacha mke?Kweli?
Mbona watu mna uswahili hivi??..
Keep record straight "HAKUAJIR1WA"
Si ni moja ya hoja zake au unajisahaulisha HAKUWA NA MKATABA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anatumia ulemavu wake kutafuta huruma za wanajamii tu hana loloteKusema kweli huyu jamaa anajaribu kutafuta huruma kwa gharama yoyote hata kama ni kuua brand ya Simba.
Hapo utaona dua lake ni kutaka Mo aondoke Simba.Je yeye ana uwezo wa kulipa mishahara na bonus?
Ana uwezo wa kununua mchezaji kama Mo anavyofanya?
Anataka Simba ianguke ili akidhi kiu yake ya kusema yeye alikuwa muhimu?
Mashabiki wengi wa Simba hatukutaki kabisa wala hatutaki kusikia ujinga uwako
Nadhani upoyoyo ni kushindwa kutambua malalamiko yanaweza kuwa hoja na hoja zinaweza kuwa katika mfumo wa malalamiko.Taja hoja sio maelezo yawezekana unashabikia tu kama poyoyo hujui kutofautisha HOJA na MALALAMIKO na MAELEZO
Huona unamuokota yatima unamlisha halafu anashiba anaanza kukutusi?Hata kama alikua deiwaka bado Simba hamna hoja kwenye kufukua makaburi mtu wa namna hio mtamuachiaje timu na kusapoti hustle zake ndani ya club?
We pimbi taja HOJA sio unazungukazunguka tu kama PIA si uitaje moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaonekana mlivyo WEUPE!!Nadhani upoyoyo ni kushindwa kutambua malalamiko yanaweza kuwa hoja na hoja zinaweza kuwa katika mfumo wa malalamiko.
Kweli alikuwa akijigharamia safari za Simba unampenda kucheza?Kweli alikuwa akipewa laki 7?Tuanzie Happ!Taja hoja mbili tu, maana mnakarr kama nyumbu
Ndio Hapo,halafu Sasa hivi ndio wanakuja na huu upuuzi!Mshangao mkubwa sana. Yaani wanaajiri mtu mwenye tuhuma lukuki kama hizo na bado wanampa na michango ya rambi rambi aiseeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] anaenda kukusanya wanasimba na kukusanya michangoKweli alikuwa akijigharamia safari za Simba unampenda kucheza?Kweli alikuwa akipewa laki 7?Tuanzie Happ!
Yaani mkuu kwa umri wako unaelewa huu ujima, unafanana na HM akili yakoNdio Hapo,halafu Sasa hivi ndio wanakuja na huu upuuzi!
USISEME ''hata kama alikua deiwaka''Hata kama alikua deiwaka bado Simba hamna hoja kwenye kufukua makaburi mtu wa namna hio mtamuachiaje timu na kusapoti hustle zake ndani ya club?
Huona unamuokota yatima unamlisha halafu anashiba anaanza kukutusi?
Unamkumbusha alipotoka wala sio makaburi ya zamani hadi ya safari za mikoani za juzi tu alikuwa anavhangisha fedha na kusepa nazo?
USISEME ''hata kama alikua deiwaka''
Ulisema AMEAJIRIWA!!
Ndio maana tunasema HAMNA HOJA
Unataka nitaje hoja gani tofauti na alizo toa Manara mwenyewe?We pimbi taja HOJA sio unazungukazunguka tu kama PIA si uitaje moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaonekana mlivyo WEUPE!!
BTW, mimi siyo muumini wa kuchangia hoja kwa matusi.We pimbi taja HOJA sio unazungukazunguka tu kama PIA si uitaje moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaonekana mlivyo WEUPE!!
Manara kafanikiwa kushawishi baadhi ya wajinga kua mafanikio ya simba yametokana na juhudi zakeVitendo vya MO ndivyo vilivyofanya mdomo wa Manara uonekane una nguvu, I mean uwekezaji wa Mo uwanjani ndio uliofanya timu ifanye vizuri na hivyo Manara kuweza kuwashawishi mashabiki wa Simba SC waende uwanjani, nje ya hapo Manara ni hopless tusidanganyane.