EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #81
Uto mnakera mbona mnashindwa kutaja hata HOJA moja ya HM??Sawa, Manara anaweza kuwa na maovu yake kama alivyo kila binadamu. Lakini mtumie akili kumjibu. Jibuni hoja zake maana hata huyo MO ni mwizi Mkubwa.
Unamjua baba yake ana maovu gani kufikia huo utajiri aliomridhisha MO? Piga kimya, tupotezee.
Tujikite kwenye hoja.
Na MO alivyo mweupe kichwani anataka kila adui wake awe adui yake. Mpaka anaanza kuleta mzozano na wachezaji.
[emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Neno. Sana mkuu mdomo hauwez kuifikisha simba ilipo ni uongo kusadiki kuwa manara kaifikisha simba hapa ilipo. Tujifunze kuwaheshimu watu waliothubutu kutoa kidogo chao
Tatzo hili swala yanga ndio wanalivalia njuga na kuzidi kufarakanisha na MO naye kapanicapokonywe simuUto mnakera mbona mnashindwa kutaja hata HOJA moja ya HM??
we wasaidie wenzako taja mbili tu?
Huwez kuwa rafiki wa adui wa boss wako mzee baba haipo.Sawa, Manara anaweza kuwa na maovu yake kama alivyo kila binadamu. Lakini mtumie akili kumjibu. Jibuni hoja zake maana hata huyo MO ni mwizi Mkubwa.
Unamjua baba yake ana maovu gani kufikia huo utajiri aliomridhisha MO? Piga kimya, tupotezee.
Tujikite kwenye hoja.
Na MO alivyo mweupe kichwani anataka kila adui wake awe adui yake. Mpaka anaanza kuleta mzozano na wachezaji.
Mo amjibu nn haji..? Yaani mo atoke ajibu taarabu atonekana waajabu zaidi. [emoji23][emoji23][emoji23]Haya yote hayana msingi kwa wakati huu hadi pale Manara atakapojibiwa hoja zake,haya kama Simba hawakuyaona mwanzo basi hakuna maana ya kuyaleta sasa kama MO na Babra watashindwa kumjibu Manara,cha kujiuliza huyu MO kama alikuwa na ugomvi na Hamisi kwanini sasa awe na ugomvi na Haji
Hata mimi naamini huyu muda mfupi ana chafuliwa vibaya acha watu wanafukua mafaili waje kiutu uzima na evidence co yy anaongea tu vizibitisho hakunaKumpotezea ni kuwapa kichwa Yanga huyu atachafuliwa na Simba kwa kutumia very normal people,
Ana siri nyingi chafu watu walizihifadhi. Kutokuchafua IMAGE/BRAND ya SIMBA, now that he's out he should learn to keep his mouth shut[emoji850][emoji850]
Kweli kabisa na HM anatumiwa na GSM na BAKHRESATatzo hili swala yanga ndio wanalivalia njuga na kuzidi kufarakanisha na MO naye kapanicapokonywe simu
Hapana tutawama wasio na majina ili kulinda BRANDSema simba inabidi waje baadhi ya viongozi wamwage ushuuzi wote wa manara
[emoji851][emoji851][emoji851][emoji1756][emoji1756][emoji1756][emoji1306]Mo amjibu nn haji..? Yaani mo atoke ajibu taarabu atonekana waajabu zaidi. [emoji23][emoji23][emoji23]
Atajuta sooon hata hao GSM na AZAM WATAMKIMBIAHata mimi naamini huyu muda mfupi ana chafuliwa vibaya acha watu wanafukua mafaili waje kiutu uzima na evidence co yy anaongea tu vizibitisho hakuna
Sema karma is b***h jiwe ukilirusha juu litaanguka tu.Kweli kabisa na HM anatumiwa na GSM na BAKHRESA
Kwa style hii sithani kama kuna mtu mwenye akili atafanya naye kazi ampe siri za taasisi yakeAtajuta sooon hata hao GSM na AZAM WATAMKIMBIA
Si kalianzisha yeye sie tutamvua hadi chupi tuone nyeti za "mtu mweupe"Sema karma is b***h jiwe ukilirusha juu litaanguka tu.
Na huyu asije siku ya mechi na simba itabidi tumgawane uwanjaniSi kalianzisha yeye sie tutamvua hadi chupi tuone nyeti za "mtu mweupe"
Yanga, babaye washamkataa, namuonea huruma mkeweKwa style hii sithani kama kuna mtu mwenye akili atafanya naye kazi ampe siri za taasisi yake
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1306][emoji1306][emoji1306]Na huyu asije siku ya mechi na simba itabidi tumgawane uwanjani
Sema nimesoma mahala historia yake ni tatizo huyu mtu. Ni sumu hafai simba tulifanya kosa kumleaYanga, babaye washamkataa, namuonea huruma mkewe
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] ya uzi huu hujaisoma???Sema nimesoma mahala historia yake ni tatizo huyu mtu. Ni sumu hafai simba tulifanya kosa kumlea