Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

Isome comment ya Ezekiel ya pili kulia "They got massive following and always filling the stadium,we need to be stronger there".
KWA KAULI HII ITOSHE KUSEMA MASHABIKI WANAIHOFIA YANGA.
Huyo aliongea kauli ni tofauti na huyu mwingine ana idea yake huwezi kukusanya maoni ya kila mtu ukatengeneza series
 
Tatizo mtu analeta uzi mwambie ataje mchezaji mmoja wa Mamelodi hamjui.
 
Kwa maoni inaonekana wanasikitika kwasababu hawatapata upizani wa kutosha kwa yanga,unajua ukijua mpinzani wako ni mdhaifu sana hauwezi kuwa na furaha kwasababu hatakupa changamoto..tukbuke yanga ndio timu iliyoingia robo final kwa point ndogo sana point 8,pia ndio timu iliyoingia robo final kwa kufungwa sana..ndio maana hawa washabaiki wa MAMELODY hawana furaha kukutana na timu dhaifu
Kamdai ada mwalimu mkuu!

Caf champion 🏆 ni pesa tupu, ukipata kibonde kama Simba waliopigwa khamsa, thimba wenye desturi ya kuishia robo fainali unaenjoy boli maana unajipigia tu kibonde unachukua pesa.
Mamelodi wanajua Yanga haitabiriki na huimarika jinsi inavyoenda juu na haitakuwa kinyonge yaani itakuwa vita haswa kina Ki Aziz, Pakome na Djigui wakitaka ku shine! Huko hawalali! US Alger walipigwa kwao mbele ya uwanja uliojaa! Yanga hii ni ya kutafuna mifupa yote iliyomshinda thimba kolowizard!
 
Sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom