Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

Isome comment ya Ezekiel ya pili kulia "They got massive following and always filling the stadium,we need to be stronger there".
KWA KAULI HII ITOSHE KUSEMA MASHABIKI WANAIHOFIA YANGA.
Huyo aliongea kauli ni tofauti na huyu mwingine ana idea yake huwezi kukusanya maoni ya kila mtu ukatengeneza series
 
Tatizo mtu analeta uzi mwambie ataje mchezaji mmoja wa Mamelodi hamjui.
 
Kamdai ada mwalimu mkuu!

Caf champion πŸ† ni pesa tupu, ukipata kibonde kama Simba waliopigwa khamsa, thimba wenye desturi ya kuishia robo fainali unaenjoy boli maana unajipigia tu kibonde unachukua pesa.
Mamelodi wanajua Yanga haitabiriki na huimarika jinsi inavyoenda juu na haitakuwa kinyonge yaani itakuwa vita haswa kina Ki Aziz, Pakome na Djigui wakitaka ku shine! Huko hawalali! US Alger walipigwa kwao mbele ya uwanja uliojaa! Yanga hii ni ya kutafuna mifupa yote iliyomshinda thimba kolowizard!
 
Sahihi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…